Wapinzani tuelezeni nani ni mpango wa Mungu kati ya Magufuli na Samia kwa maana hatuwaelewi

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!

Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.

Anyway,mimi ninalo swali moja kwa wapinzani je ni yupi baina ya JPM na Samia ni mpango wa Mungu?!
 
Pamoja na kuwa ni mwanaccm, lakini kwa hakika kuna tofauti kubwa sana katika "staili" ya uongozi kati ya Hayati Magufuli, ambaye aliendesha nchi hii kwa mkono wa chuma na Samia Suluhu Hassan, anayetumia diplomasia zaidi.

Nikinukuu maandiko katika Biblia, kitabu cha Methali 14:34 inasema hivi "Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu

Kwa hiyo hapo "automatically" Mpango wa Mungu atakuwa ni Mama Samia
 
Hivyo kulazimu wapinzani wengi kumuunga mkono, Mama Samia Suluhu

Kwa hiyo hapo "automatically" Mpango wa Mungu atakuwa ni Mama Samia
Andiko la Nape Nnauye limesema kwamba Raisi Samia ni mpango wa Mungu sasa kamwulize je Hayati Magufuli ulikuwa mpango wa nani?
 
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!

Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.

Anyway,mimi ninalo swali moja kwa wapinzani je ni yupi baina ya JPM na Samia ni mpango wa Mungu?!

MATAGA mmepigwa pande la uso mmepoteana wote, yale mliyokuwa mnayafurahia yakisemwa na mwendazake mkayashangilia, mama kayasema tofauti mmebaki bila kujua mnasimamia nini!
Regardless ni ccm lakini ndio hivyo, ameshawaambia mkimzingua anawazingua!
 
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!

Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.

Anyway,mimi ninalo swali moja kwa wapinzani je ni yupi baina ya JPM na Samia ni mpango wa Mungu?!
Hata Musa na farao wote walikua mipango ya Mungu ili maandiko yatimie. Hivyo wote wanaweza kuwa mpango wa Mungu ili malengo ya Mungu kwa Tanzania yatimie.
 
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!

Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.

Anyway,mimi ninalo swali moja kwa wapinzani je ni yupi baina ya JPM na Samia ni mpango wa Mungu?!

Huku ni kwenye mitandao ya kijamii na sio kwenye ofisi za vyama vya upinzani. Hapa watu wanafurahia utawala wa kidhalimu kufikia mwisho. Kama huo utawala wa kidhalimu ulikuwa wa ccm na huu ni wa ccm hilo utajua ww. Huyo mama anaoongoza kwa utashi wake na wala sio wa ccm, kama yule dhalimu alivyokuwa anaoongoza kwa utashi wake. Hiyo ccm ni platform tu, lakini haina nguvu zozote kwenye matakwa ya viongozi wao.
 
FB_IMG_16177300209313588.jpg
 
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!

Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.

Anyway,mimi ninalo swali moja kwa wapinzani je ni yupi baina ya JPM na Samia ni mpango wa Mungu?!
Nyumbu waliwahi kueleweka kweli?.
 
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!

Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.

Anyway,mimi ninalo swali moja kwa wapinzani je ni yupi baina ya JPM na Samia ni mpango wa Mungu?!
Wasukuma hadi sasa hamjaamini matokeo. Hata siku moja Mungu hawezi kuwa upande wa dhalimu. Sukuma Gang na mfadhili wenu askofu Chidi rudini kwenye drawing board,kazi inaanza upyaaaahhhhh!!!!!!
 
Pamoja na kuwa ni mwanaccm, lakini kwa hakika kuna tofauti kubwa sana katika "staili" ya uongozi kati ya Hayati Magufuli, ambaye aliendesha nchi hii kwa mkono wa chuma na Samia Suluhu Hassan, anayetumia diplomasia zaidi.

Nikinukuu maandiko katika Biblia, kitabu cha Methali 14:34 inasema hivi "Haki huinua Taifa na dhambi ni aibu ya watu wote" mwisho wa kunukuu

Kwa hiyo hapo "automatically" Mpango wa Mungu atakuwa ni Mama Samia
Umejibu vema kabisa
 
Wapinzani wa Nchi hii kwa hakika ni janga!

Leo wamesahau ajenda zao na kutwa kuchwa wanacheza mdundiko wa CCM tu.Wamesahau kabisa Samia ni mwana CCM na yupo pale kwa sababu ya CCM.

Anyway,mimi ninalo swali moja kwa wapinzani je ni yupi baina ya JPM na Samia ni mpango wa Mungu?!
Mungu huwaweka watu huru. Shetani huwafungia watu.
Suluhu amani/ upatanisho.
Pombe chanzo Cha Matatizo
 
Back
Top Bottom