Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Iwe chadema, NCCR, CUF na ACT wazalendo. Hawawezi kukwepa kuongozwa na serikali ya CCM. Ndiyo maana Kuna msemo, chama tawala chama Dola ( siupendi msemo huu) Kazi ya vyombo vya Dola ni kulinda...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Mpaka sasa hivi makampuni ya simu yanaendelea kuuza vifurushi kwa bei ileile onevu ambayo ililalamikiwa na wananchi hapo jana. Licha ya Serikali kupitia TCRA kuagiza usitishwaji wa viwango hivyo...
55 Reactions
403 Replies
36K Views
Kila nikiiwaza Tanzania kwanini tupo kama tulivyo mpaka sasa nakosa majibu. Tanzania imashika namba tano kwa idadi kubwa ya watu nyuma ya Nigeria, Ethiopia, Misri na DR Congo. Idadi kubwa ya watu...
1 Reactions
1 Replies
672 Views
Mbunge wa Temeke Mhe.Dorothy Kilave bungen leo aomba vifaa tiba kwenye hospitali ya malawi na buza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu salaam. Nimeonelea nitumie ukurasa huu kutoa pendekezo ninaloona ni la manufaa sana kwa mustakabali wa taifa letu. Imekuwa ni kawaida Kwa watumishi kuhangaika kutafuta mikopo kwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
SHAREDCovid pushing 30 million Africans into poverty - IMF Africa editor, BBC World Service ReutersCopyright: Reuters Some African nations will need to increase health spending by 50% to...
0 Reactions
2 Replies
975 Views
Salaam wana jamvi, Nimesikitishwa na kinachoendelea bungeni Kwa sasa kwani nitofauti kabisa na misingi ya uwanzishwaji wa chombo hiki. Hivi karbuni bungeni pamegeuka ni mahali paku onyesha...
0 Reactions
2 Replies
843 Views
Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa...
23 Reactions
45 Replies
4K Views
ZANZIBAR :- WAZIRI JAFO ARIDHISHWA MIRADI YA MUUNGANO Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo amefanya ziara ya kikazi ya kukagua miradi inayotekelezwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Siku zote nitaendelea kuwaheshimu vijana wa kitanzania wanaoendelea kuikosoa serikali hadharani, pale inapotenda ndivyo sivyo. Pamoja na matukio ya kutisha yanayowakuta vijana/watu wanaoonesha...
10 Reactions
52 Replies
7K Views
HAWA SI WAZALENDO, NI WASAKATONGE TU ✍️✍️✍️✍️ Licha ya neno uzalendo kutamalaki vinywani mwa kila mtu, wanaharakati, wanasiasa na watumishi wote wimbo wao ni uzalendo, lakini wengi sana...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais John Pombe Magufuli ametoa siku saba kwa wapangaji wote serikalini wanaodaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kulipa madeni yao, pamoja na kutoa agizo kwa viongozi wa shirika hilo...
15 Reactions
300 Replies
44K Views
Wakuu, nimekuwa nafuatilia mijadala inayoendelea huko Bungeni. Ukisikiliza kwa makini utagundua ni mijadala ambayo ingetakiwa kufanyika ndani ya Chama. Bungeni ni sehemu ya kuongelea mambo yaliyo...
2 Reactions
4 Replies
667 Views
Nikiwa na huzuni na hasira moyoni; Bila shaka hakuna aliyekuwa na mashaka juu ya utendaji kazi wa Rais jiwe. Kwa kulitambua hilo ni vema tukamuenzi kwa kumjengea angalau sanamu kama ilivyo kwa...
3 Reactions
85 Replies
6K Views
Ningeomba kumkumbusha Spika Ndugai kiapo alichokula, cha kuongoza bunge kwa kufuata kanuni na sheria za nchi. Ningependa kumkumbusha Ndugai kuwa alikula kiapo hicho huku ameshika biblia na huku...
12 Reactions
33 Replies
3K Views
Maamuzi ya kuvuruga uchaguzi makusudi na kuhitimisha kwa kutaka kuwanyima ushindi washindi yamepelekea Wazanzibari kwa umoja wao kuamua leo hii kuchoma Ubani nchi nzima wakimuomba MUNGU atoehukumu...
1 Reactions
103 Replies
21K Views
Habarini wakuu, Leo napenda nami pia kupongeza uteuzi wa Mh. MPANGO na Mh. KATANGA kwa nafasi ambazo wameaminiwa na Mheshimiwa Rais na taifa kutumikia. Nijielekeze ktk mchango wangu wa mawazo...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Nakumbuka siku moja JK aliwahi kusema alipokuwa mbunge alimpa lift bwana mmoja wa jimbo lake, na wakiwa kwenye safari alianza kumuuliza maswali mbalimbali kuhusu hali ya jimbo na wanajimbo. Bwana...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Siasa za kujipendekeza kwa CCM na siasa nyepesi nyepesi ni vizuri mkazifanyie Ufipa, haya mawazo ya kutaka kuokota dodo katika mti wa mfenesi mwisho mtajikuta mmedharaurika mpaka na kuku...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…