Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimesikitika kuona msomi kama Assad aki-personalize tofauti zake na Hayati Magufuli kwa kusema mtu kichaa tu ndie ananunua ndege kwa cash, profesa akasema mikopo/lease ndio njia sahihi. Binafsi...
71 Reactions
446 Replies
31K Views
MAWAZIRI WAKETI KUWEKA MAMBO SAWA, NI KUHUSU MAAGIZO YA RAIS YA ONLINE TV Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Faustine Ndugulile na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Magufuli alianza kwa staili ya aina yake, ya kipekee. Pamoja na kuwemo ndani ya Baraza la mawaziri kwa takribani miaka 20 lakini alijitenga na Serikali zilizopita. Aliwafanya waliomtangulia...
62 Reactions
129 Replies
11K Views
Habari wana JF. Naomba kujuzwa hivi kuwa waziri asiye na wizara maalum jukumu lake ni nini la kiutendaji? Na je kuna katibu mkuu, mkurugenzi na wafanyakazi wengine? Naomba kuelimishwa juu ya hili...
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Haya ni maoni ya mwandishi Ndg Mgamba. Bunge na wabunge washitakiwe na wananchi kwa kupitisha mikataba inayowaibia wananchi mali nyingi za madini na biashara. Actually ana sema ni UHAINI...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Makamu wa Rais Mheshimiwa Philip Isdor Mpango Ofisini kwake Ikulu Chamwino jijini Dodoma leo tarehe 14...
9 Reactions
49 Replies
50K Views
The other Justices of Appeal shall be appointed by the President after consultation with the Chief Justice, from amongst persons who qualify to be appointed Judges of the High Court of the United...
13 Reactions
132 Replies
15K Views
Siku chache zilizopita, nilisema jinsi ambavyo Maaskofu tulivyoandamwa na mamlaka kwa vitisho hadi baadhi ya Maaskofu wakaamua 'kuomba poo' lakini wengine tusonga mbele! Sasa soma ushuhuda wa...
14 Reactions
31 Replies
4K Views
Asante mzee wetu, Mungu aendelee kukutunza tuendelee kukufaidi
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Nianze moja kwa moja kutoa maoni yangu kwa hali ya kisiasa nayoiona. Kifo cha Rais Magufuli kimeacha pengo kubwa sana kwenye taifa. Kwa wale wasiopenda kusikia jina la magufuli niseme tu, Hayati...
36 Reactions
296 Replies
19K Views
Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema...
0 Reactions
32 Replies
6K Views
Wabunge Livingstone Lusinde "Kibajaji" na Joseph Kasheku " Msukuma" wamelithibitishia bunge na wananchi wa Tanzania kwamba wasomi wa nchi hii ndio wanaoongoza kwa kuchelewesha maendeleo nchini...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Huyu kijana aliwahi kufunga geti ya wizara kudhibiti wachelewaji akawadhalilisha watendaji wa afya bila kuwasikiliza walikuwa na matatizo gani makwao. Aliwahi mdhalilisha mzee mmoja Askari tena...
21 Reactions
63 Replies
8K Views
Ni ukweli usiofichika kuwa kuna mkakati wa ndani ya Bunge na baadhi ya Mawaziri wakiongozwa na PM mwenyewe kum pre empty Rais Mama Samia ili ajikute anafanya kazi bila kwenda kinyume na mtangulizi...
43 Reactions
192 Replies
13K Views
Taarifa kwa umma Sent from my EVA-L09 using JamiiForums mobile app
4 Reactions
31 Replies
4K Views
General Tyre imefufuka? Serikali imefufua kiwanda cha General tyre au kimeuzwa? Maana kuna shughuli mingi zinaendelea pale...?
2 Reactions
47 Replies
7K Views
Bagamoyo inafyreka tu, haitakuwa na simile na mtu! Tuliwahi kusikia taarifa nyingi kuhusu mpango wa kuiboresha bandari ya Dar es Salaam ili iweze kutoa huduma nzuri kwa wateja wake, na kuvutia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumechoka kuambiwa, tumechoka kuyumbishwa na tumechoka kuburuzwa, sasa tunataka mkataba mzima wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uwekwe hadharani ili sote tuusome, tuujadili, tuuchambue na kuamua...
3 Reactions
5 Replies
793 Views
Kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wafuasi wa Shujaa wetu juu ya kitendo cha baadhi ya Watanzania wenzetu kumsema shujaa wetu kwa mabaya. Malalamiko haya si mitaani na kwenye mitandao ya kijamii...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Rais mpya ameanza kutekeleza majukumu yake kusonga mbele. Rais mpya Mama Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake njema na ya dhati kabisa kuendelea pale alipoachia...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…