Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
1 Reactions
16 Replies
2K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA 1. 3:00 – 5:00 Asubuhi Kikao cha Bunge Spika/Katibu wa Bunge 2. 5:00 – 8:00 Mchana Shughuli za...
8 Reactions
40 Replies
5K Views
Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016...
0 Reactions
1 Replies
957 Views
Watumishi watatu wa halmashauri ya Wilaya ya Makete mkoani Njombe wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela kila mmoja baada ya kukutwa na makosa ya kuomba na kupokea rushwa na ubadhirifu. Hayo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika. Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho...
5 Reactions
9 Replies
987 Views
Mbunge wa jimbo la Igalula, Venant Protas ameomba kutengwa fedha kaajili ya ujenzi wa daraja katika kata ya Loya ambalo watu zaidi ya ishirini wanapoteza maisha kwa kusombwa na maji hasa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hili ni Eneo la Shule ya Sekondari Mabati Mjini Njombe ambako Meza za Wafanyabiashara wadogo (#Machinga) zimetupwa na Mgambo wa Halmashauri ya Mji huku wafanyabiashara hao wakitakiwa kuondoka...
6 Reactions
112 Replies
11K Views
Najikumbusha tu ujasiri wa Rais wa awamu ya pili mh Ali Hassan Mwinyi ( Ruksa) Profesa Kighoma Malima akauliza " mh Rais hata mimi simo?" Rais akamjibu "Kwani wewe ni nani? " Ramadhan Kareem!
30 Reactions
121 Replies
11K Views
Nyie hamfurahii kurudi kwa uhuru wa habari na kutoa maoni kinzani kwa watu wote? Hamfurahii kuona redio na TV zikiwa zimechangamka na za moto kwa mijadala mbalimbali? Hamfurahii kuona magazeti...
8 Reactions
20 Replies
2K Views
Leo nimeona kuna habari ipo humu Jamii Forum kuhusu Waziri wa Madini Mh Dotto Biteko. Kwanza ni habari za uzushi ambazo hashiko mashiko yoyote au chanzo chochote cha kueleweka zaidi ya mihemko na...
5 Reactions
44 Replies
6K Views
Mhashamu Baba Askofu Dkt. Kalikawe Lwakalinda Bagonza! Elimu uliyoitoa juzi katika ukurasa wako wengine haikuwaingia! Waliendelea kuteseka katika nafsi zao eti kwa nini Viongozi wengine wa Dini...
8 Reactions
10 Replies
1K Views
Waziri Dr. Charles Tizeba makamu wa Mwakyembe ambaye amekuwa akiishi katika hoteli ya nyota 4 ya New Africa aondoka baada ya bili kufikia milioni 100. Hiyo ni bili ya malazi na mlo wa asubuhi tuu...
3 Reactions
138 Replies
17K Views
Huo ndio ukweli mchungu. Kwa mfano wale Wabunge 19 wasiofungamana na upande wowote ni lazima wamwamkie Dkt. Mahera popote wanapomwona tena kwa kupiga goti hata kama wanamzidi umri. Hizo ndio...
22 Reactions
63 Replies
5K Views
Rais Samia kuunda kamati kushughulikia COVID 19. Amesema ataunda kamati ya kushughulikia kitaalamu. Amesema hatuwezi kujitenga kama kisiwa, lazima tuunde kamati ijulikane kama tunakubali au...
33 Reactions
381 Replies
32K Views
Watumishi wa umma kesho wanasubiri kwa hamu kusomwa kwa bajeti ya Wizara yao Chini ya Rais wa awamu ya sita Mhe. Samia Suluhu Hassan. Maswali ya kujiuguza je Kilio cha muda mrefu cha Watumishi wa...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nawasalimu kwa JMT. Leo nilimsikia mbunge nadhan kutoka Mbeya anaulizia kimondo kilichochukuliwa na NASA. Naomba mwenye taarifa zaidi atujuze. Ni kile cha Mbozi? Kilichukuliwaje?
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Kumekwa na hii tabia ya viongozi wa nchi hii kuwaandalia wabunge futari jambo ambalo naamini linafanyika kwa gharama za serikali huku Serikali hii ikikemea matumizi mabaya ya fedha za Umma. Japo...
18 Reactions
75 Replies
6K Views
Niseme wazi kuwa sikuwahi kuwa fan wa Ben Saanane Kwa lolote lile lakini Kwa sababu alikuwa member mwenzetu hapa nilimuona kama mtu wa karibu au ninaefahamiana nae hivi sababu ya kushiriki pamoja...
51 Reactions
80 Replies
9K Views
Mheshimiwa Rais, Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya: 1. Ajira kwa vijana. 2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa 3. Gharama za tozo za...
6 Reactions
35 Replies
2K Views
Namsikiliza hapa mbunge wa viti maalum Chadema Mh Nusrat Hanje akifanya mahojiano na moja ya idhaa za Kiswahili ya kimataifa. Ameulizwa kama wao waliowachache bungeni wanaonaje uongozi wa spika...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…