Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nnaomba kujuzwa hivi hili swala la Bei ya Bando nani kamshindwa mwenzie Kati ya Serikali na Makampuni ya Simu? Ndugu zangu hivi tuseme tumeshindwa kabisa kupigania haki zetu au ndio tumekubali...
0 Reactions
3 Replies
870 Views
Hii mbona inafikirisha sana, maana kwa dunia hii ya sayansi na teknolojia taifa linakuwa na maadui ambao wanakuja kwa kila namna. Wapo wanaoonekana na wapo wasioonekana. Kama wapo wasionekana ila...
4 Reactions
67 Replies
9K Views
Katika hotuba yake kwa bunge Mh Rais pamoja na kuwalaumu watu wa mitandaoni kwa uzushi wao kuhusu chanzo cha kifo cha Rais wa zamani wa Tanzania Hayati Dr Magufuli, lakini ametoa nafasi kwa wote...
25 Reactions
71 Replies
9K Views
Rais Samia amesema menejimenti na bodi za baadhi ya mashirika wamekuwa wakitafuta fedha huku na kule waweze kulipa gawio serikalini ili kulinda ajira zao. CPA Uttoh alisema dividend hulipwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Wasalam! Mkoa wa Arusha naweza sema kumekuwa na malalamiko mengi sana juu ya ukiukwaji wa sheria za kazi hasa kwa makampuni binafsi. Naomba nisiyataje hapa ila nishauri tuu kuwa ipo haja ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, Leo nimeona umuhimu wa kutoa elimu ya nini maana ya dhana "kutanua wigo wa Kodi" (broadening tax base).Nini maana yake?inajumuisha mambo gani?haijumuishi mambo gani?Faida zake kwa...
4 Reactions
29 Replies
4K Views
Tundu Lissu Asema Atarejea Tanzania Iwapo Ataruhusiwa Kuanika ‘Maovu’ Ya Utawala Wa Magufuli NA WANGU KANURI MwanasiasaA mtajika wa Tanzania na mpinzani wa chama cha CHADEMA, Bw Tundu Antiphas...
23 Reactions
200 Replies
27K Views
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu Ado leo tarehe 21 Mei 2021 ameendelea na ziara kwenye Jimbo la Buhigwe kwa kutembelea Kata za Kibwigwa, Bukuba, Janda na Kinazi. Katibu Mkuu...
1 Reactions
2 Replies
871 Views
Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema Rais Samia Suluhu Hassan atalihutubia Bunge Alhamisi Aprili 22 2021 jioni Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa Mama Samia kulihutubia Bunge tangu alipoapishwa kuwa...
10 Reactions
224 Replies
29K Views
Mwezi mmoja baada ya Rais Dkt. John Magufuli kututoka nini kimebadilika katika nchi? Nini unamiss kutokana na kukosekana kwake? Unaionaje nchi bila yeye?
4 Reactions
129 Replies
10K Views
Katika hotuba yake kwenye Bunge leo Alhamisi 22/04/2021, Rais Mama Samia, kuhusu uwekezaji, amesema Tutarudisha imani ya Wawekezaji na kutoa vivutio kwa Wawekezaji, tunalalamikiwa sana, kumekuwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana ulizuka mjadala kuhusu katazo la Spika kwa wabunge kutokuvaa tai nyekundu wakati Rais akiwa bungeni leo. Watetezi wa katazo hilo walisema ni suala la Itifaki. Jambo jingine ambalo niliwahi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Nimsikiliza Rais Mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,katika hotuba yake ameongea mambo mengi ya msingi na yenye kutia matumaini. Moja ya maeneo aliyonifurahisha katika hotuba yake ni tone...
4 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona mara kwa mara wateuliwa wa Rais wakimtaja "Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi.Mkuu" Hii sio sawa hawa wanasiasa wanadhani sisi tunamuona Rais Mama Samia Suluhu Hassan kama ni dhaifu saana so...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Temeke Mhe.Dorothy Kilave siku ya Jumamosi April 24 saa nne Asubui kwenye viwanja vya ofisi ya Mbunge Temeke, atazindua kampeni ya "BORESHA VYA KALE". Kampeni hii ni maalumu kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekatisha safari yangu ya kwenda nyumbani Songea, Ruvuma. Nimegeuzia Masasi, Mtwara. Nimeamua kuingia mstari wa mbele bila kelele kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila...
13 Reactions
23 Replies
3K Views
Naona kila mtu anashadidia juu ya kuwepo kwa kile kinachodaiwa uhuru wa kujieleza ambao wengi wanao shadiia ni wale wanaodai kuwa sasa uhuru wa kujieleza na kuropoka kama mtu anahara sasa umerudi...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Wakati Mbowe akilaumu kuwa kwanini viongozi wote wa ngazi ya juu wa kitaifa waliingia kwenye ndege wakati wa kuipokea pale airport kuwa ni jambo la hatari na kupoteza mrithi wa kiti cha mkuu wa...
6 Reactions
55 Replies
6K Views
Wakuu habari zenu, twende kwenye mada direct. Mimi nmesoma sheria karibu zote za kodi tukianza na Tax Administration Act, Value Added Tax Act na Income Act. Twende kwenye point. Ukisoma sheria ya...
6 Reactions
15 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…