Salaam,
Mbunge wa Mtama (CCM) Nape Nnauye amefunguka ya maoni.
Kasema Kuna upungufu wa Sheria za Uchaguzi kwenye Local Government. Vigezo vinavyotumika kuwaweka watu Pingamizi na kuwaondoa, ni...
Ndugu wana JF kupitia jukwaa la siasa, nawasalimu Kwa jina la Demokrasia jibuni 'kwa pamoja tuipiganie'
Ndugu wana JF, Naomba nianze kwa kunukuu maneno machache toka katika katiba ya JMT (1977)...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania,...
Katika malezi tuliambiwa mkubwa hakosei japo Kuna wakati makosa yanaonekana dhahiri
Mzazi akikukosea hata iweje atabaki kuwa mzazi...
Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu...
UZINDUZI WA KAMPENI YA BORESHA VYA KALE JIMBO LA TEMEKE.
LEO Tarehe 24/04/2021.
Mhe.Dorothy Kilave.Mbunge wa Jimbo la Temeke,Amezindua Kampeni ya Boresha Vya Kale Kampeni,Maalumu kwaajili ya...
Namfuatilia muda huu naibu spika wa Bunge kupitia kipindi cha 360 cha clouds Tv. Baadhi ya maneno muhimi aliyoyaongea leo
1. Mbunge akinadi sera zake lazima awe amesoma ilani ya chama chake ili...
Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika amesema walieleka barua rasmi kulitaarifu bunge kuhusu kufukuzwa uanachama kwa wabunge 19 walioteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum katika bunge la 12
Mnyika...
Katika mambo yanakera moja wapo ni ili la Tundu Lissu kutaka kuhakikishiwa ulinzi ilihali ni mtu mwenye makosa mengi
Tundu Lissu analia mitandaon kuwa ameshutumiwa kwa mambo mengi hivyo anaiomba...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, kimekana taarifa kuwa kimekuwa kikipokea ruzuku ya mamilioni ya shilingi kutoka serikalini, tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu wa...
Inasikitisha sana kuona wanasiasa wetu wanaojiita wazalendo, kuwa na malimbikizo na misururu ya marupurupu na posho starehe, kusinzia, kupiga meza na kupongezana kuchaguliwa tena, tena wakiwa...
Prof Iddris Kikula ameteuliwa tena kuwa mwenyekiti wa Tume ya Madini kwa sasa Prof Kikula anamiaka 78 maana yake katika kipindi hichi cha miaka mitatu atamaliza mkataba akiwa na umri wa miaka 81...
Tanzania tushazoeshwa na Mambo ya Kishirikina na kienyeji tushakuwa wabishi tu na kuwasingizia Wazungu kuwaita Mabeberu..
IImekuja Corona tumeambiwa Nyungu hadi kukawa na wiki za Nyungu...
Sasa...
"Kutembelea wagonjwa na kusaidia wasiojiweza ni wito wa kiibada hauhitaji kwamba lazima uwe na wadhifa" alisema Mheshimiwa Othman.
Makamu huyo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman...
Rais Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea 'Kuchemka' kwa Kujiita ni Rais wa Awamu ya Sita ila amesahau kuwa Leo amehutubia Wabunge waliochaguliwa katika Awamu ya Tano.
Nao Wabunge wa Jamhuri ya...
Suffocation maana yake ni kunyima kitu oksijeni/hewa, ili kife, kisiendelee kukuwa au kihame kutoka kusiko na hewa kwenda kwenye hewa.
Kwenye siasa za kidemokrasia, oxygen ya mwanasiasa ni...
Tupende tusipende ukweli unabaki pale pale kwamba China ndiyo nchi pekee duniani iliyofanikiwa kuudhibiti ugonjwa huu wa covid-19 kwa kiwango kikubwa. Nchi hii yenye population ya watu 1.4 billion...
Ni nafasi za zilizoachwa na Walimu waliostaafu,walioacha kazi Serikalini na waliofariki.
Rais Samia Suluhu amesema haya....
"Natambua kuna Walimu wengi tu karibu Elfu 6 au zaidi ambao...
Hii nchii imejaaa matapeli wa kisiasa, yaani kila mwaka wizara tajwa hapo juu kupitia bunge la bajeti imekuwa ikiahidi kutoa ajira na kuboresha masilahi ya wafanyakazi ikiwemo kupandisha mishahara...
Ni kweli Nape amewahi kutoa kauli tata ktk uchaguzi wa 2015 iliyoashiria kuwa Nape si muumini wa demokrasia. Kauli ya "goli la mkono".
Pia alikuwa waziri wa habari wakati Muswada kandamizi wa...