Anajiita Veronica France kule Facebook naona tangu Magufuli afe huyu mtu kaibuka anapambana na Kigogo ambaye anasema ni kina January Makamba, Nape Nnauye, Ridhiwani Kikwete na wote ambao wapo...
Niwieni Radhi, mada ni:
Kuna haja ya katiba ya JMT kujumuishwa mwenye mitaala ya elimu nchini.
Nawasilisha.
Nimeona mijadala mingi kuhusu katiba ya nchi yetu ila cha kustaajabisha ni kwamba...
#MFUMO #TATIZO
Kuna mjadala mkubwa unaendelea ktk taifa kwa sasa juu ya ripoti iliyotewa na mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali profesa Assad kila mmoja amejaribu kuchambua kwa muono wake vijana...
Bila kuwachosha wanajukwaa nitaandika kwa kifupi sana. Juzi waziri wa Tamisemi na mbunge wa Tanga alikuepo jimboni kwake. Kupitia mitandao ya kijamii nimeona eti akiwapongeza viongozi Tanga...
MBUNGE wa Songwe (CCM), Philipo Mulugo, amemtuhumu Mkuu wa Wilaya ya Songwe, Samuel Jeremiah, kwamba ametishia kumuua.
Amedai kuwa chanzo cha kutishiwa na mkuu huyo wa wilaya ni kutokana na...
Tumechoka kusikia katiba iliyopo aifai hata vingunge wa CCM Polepole na Bashiru kwa nyakati tofauti walilitetea hili kama kuku aliebanwa na yai na anakaribia kutaga.
Vyama pinzani navyo mida hii...
Wabunge Wanawake wanataka waonane na rais Samia ili wamueleze jinsi Wapunge Wanaume wanavyowanyanyapaa na kuwanyanyasa kinjisia.
MBUNGE wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma kupitia tiketi ya CCM...
Daktari wa Mtuhumiwa wa kesi ya Uhujumu uchumi(Wizi wa fedha za akaunti ya Escrow), Bw. Singh Sethi ameiambia Mahakama ya Kisutu kuwa Mtuhumiwa huyo amewekewa puto tumboni kutokana na ugonjwa...
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.
Hao watuhumiwa wa...
MOYO WA ASKOFU MWAMAKULA KWA TAIFA
Unatafuta kuongoza Kitongoji, Kijiji, Kata, Jimbo, Wilaya, Mkoa na hata Taifa. Lakini unapanda miiba njiani ili kuwazuia washindani wako. Unatafuta uteuzi au...
Mheshimiwa Magufuli unakuwa accountable na yanayoendelea Nchini kuhusu Uchumi kuporomoka tatizo lipo kwa kumsikiliza mshauri wako.
Mkuu wetu anaye mshauri wa Uchumi ambaye ni Philipo Mipango...
Kwa kuwa siasa ni mchezo usiotabirika, kadhalika anaeweza kuimudu ni yule mwenye uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati. Alifanya kosa kidogo kwa kuchelewa kumsoma bosi wake wa awali ila amecheza...
Akiwa Katika mjadala mkali na Nape Nnauye, pamoja na Kabwe Zito. Tundu Lisu amesema Mahakama ya sasa Tanzania hasa Majaji waliopo wanahitaji kukombolewa
Lisu amesisitiza kwa miaka mitano Mahakama...
Habari wadau..!
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu licha ya ka degree kangu nilichonacho na kukalili vizuri Civics na History na kupata A bado Muungano sija uelewa.
Binafsi naona kama Tanganyika na...
Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya CCM mtapata manufaa gani ya kisiasa?
Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio...
Itokee kwamba kwa sababu zozote za Kikatiba Rais Samia anashindwa kumalizia kipindi kilichobakia Cha pili cha Magufuli na Mpango anakuwa Rais. Na yeye Mpango anachagua Makamu wake na yeye kabla ya...
Katika hotuba yote ya rais Samia mbele ya bunge, jambo nililoliona jipya na muhimu sana, ni pale alipoahidi kuzidisha ari ya kuchimba mabwawa ya kuzuia maji Tanzania. Yaelekea serikali kadhaa...
Mbunge wa jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro mh Mafuwe ameiomba serikali kuu kuingilia kati kuwasaidia wananchi wa jimbo hilo waliokumbwa na mafuriko.
Mafuwe anasema hali ni mbaya sana kwani vyoo...
Kuna kikundi ambacho eti ghafla sasa wanajadili mambo ya Zanzibar na Tanganyika na walikuwa hawasemi lolote wakati wa Magufuli awamu ya tano.
Hizi ni mbinu wanatumia ili Watanzania wamuone Mama...
Akizungumza kwenye Kongamano la Miaka 57 ya Muungano Jijini Dodoma, Dkt. Philip Mpango amesema katika kipindi chake kama Makamu wa Rais, hatokubali Muungano kuchezewa
Amesema, "Sitakubali kabisa...