Nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano Tanzania.
Kama nilivyosema hapo awali Mama, mimi kama Mtanzania niliyekuwa nimejitoa kumuunga mkono Magufuli kutokana na Sera na ufedhuli wa Awamu ya...
Habari wadau!
Nawasalimu kwa jina la Bwana na Allah.
Hivi mpaka lini serikali itaendelea kufanya siasa kwenye maswala ya msingi kama Afya?
Kila siku wanajinasibu kwamba matibabu ni bure kwa...
Waziri wa Mawasiliano Teknolojia na habari Dkt. Faustine Ndugulile amefungua Mkutano wa 41 wa mashirika na makampuni ya mawasiliano katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC) unaojulikana...
Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya.
Erick...
Ikimbukwe kuwa Kisimiri ni eneo maarufu wilayani Arumeru linalosifika kwa kilimo na Biashara haramu ya Bangi.
Mwaka jana Timu maalumu ya kupambana na madawa ya kulevya ilikamata shehena ya bangi...
Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) umeomba radhi iwapo kuna mahali walitofautiana kimtazamo na makundi mengine na kutaka vijana wengi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan katika...
Failure of the organisation is failure of the management. Failure of a nation is failure of the leadership, and vice versa.
Kama nchi itaendelea kuwepo kwenye mkwamo wa sasa, au ikaenda kwenye...
Nimekuwa kimya kwa siku mbili tatu ili kujipa muda kuifuatilia na kutafakari FILAMU inayochezwa na CAG akishirikiana na wanamapinduzi wanaopambana usiku na mchana kuifuta LEGACY ya MWAMBA HUYU...
Wakuu.
Pamoja na kwamba nafahamu katiba imeruhusu Rais kumteua wabunge wasiozidi kumi bungeni. Naomba kueleweshwa.
Naomba kufahamu majukumu ya Mbunge wa kuteuliwa na Rais ambaye ni Mbunge tu...
Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha.
Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini?
1.Wanachama na viongozi...
Hili ndilo jambo la msingi ambalo litaifanya Ccm iendelee kuwa chama dola hapa nchini Tanzania. Sababu ni kuwa wapinzani nchini Tanzania hawajitambui na na hawako kwa ajiri ya maslahi ya...
Kipindi cha awamu ya tano tuliona miradi mingi inapelekwa chato, tumeona hospitali kubwa na ya kisasa. uwanja wa ndege, mbuga ya kitalii, hoteli ya nyota tano vyote hicho vikijenga chato, Je ile...
Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais...
Wadau nijulisheni,
Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo.
Nasema hivyo kwa...
Nyerere vizazi na vizazi vitamkumbuka kama Mwanzilishi wa Taifa la Tanzania au Tanganyika, kama mtu aliyepigania uhuru wa Tanganyika, hii ni vizazi kwa vizazi wataikumbuka.
Kushinda Vita vya...
Mimi siongezi neno hapa
Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima amelishauri Bunge kuwa Sheria kandamizi zilizotungwa mwaka 2019 ikiwemo Sheria ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji fedha zifanyiwe...
Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola.
Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua...
Unapoizungumzia Zanzibar usiangalie udogo wake kijiografia au idadi ya watu bali tazama maarifa waliyo nayo vichwani mwao.
Tanganyika ni kubwa na ina raia wengi lakini ndiko walikojazana...
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema kitu ambacho wabunge wengi hawakijui ni kwamba Bandari ya Bagamoyo itapokea mameli makubwa makubwa kutoka huko duniani ambazo hatujawahi kuziona hapa...