Hakika huyu mzee wa Cardinal rules ni kiboko. Ameendesha kikao kibabe sana. Wakati Jakaya Kikwete akiwa na kalamu na karatasi akiandaa nondo za kutema kwenye mkutano huo akiamini atapewa nafasi...
Huyu katibu mkuu hawezi hata kusoma vizuri pia anaoenekana kalewa.
Ametumia dakika 10 utambulisho na kusifu serikali.
Bado anaendelea kuongea....
Kweli JPM aliua vyama vya wafanyakazi.
Mikopo ya elimu ya juu hailipiki na huu ndio ukweli sababu ya ujinga wa Value Retention fee ya 6%.
Mfano: Mnufaika asiye na ajira rasmi anatakiwa kulipa 100000 au 10% ya kipato anachokilipia kodi...
Mkutano mkubwa wa kihistoria wa CCM ukiwa umekwisha na kushuhudia mabadiliko makubwa ya uongozi ndani ya chama, ni jukumu letu wanaCCM kushirikiana na uongozi mpya kwa ajili ya nchi na Chama...
Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka...
Katika hili lazima tuwe wawazi.
Katika taifa hili ili tuweze kupata maendeleo yanayoeleweka duniani.
Lazima tujijengee uwezo wa kufanya kazi na biashara zinazo eleweka. Sio kujiajiri kwa...
Habari za Leo wapendwa,
Heri ya siku ya wafanyakazi duniani.
Wapendwa kwanza kabisa nikiri kwamba taifa letu bado ni changa na ili liweze kuendelea linahitaji kuajiri wataalam mbalimbali katika...
Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema.
Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana...
Leo ubalozi wa Marekani umetoa taarifa kua viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya Songas imekutana na Balozi wa Marekani na kufanya mazungumzo kuhusu nishati ya Tanzania.
Historia ya...
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako mtiifu na naapa kukufuata na kukupigania kwa Hali yoyote, sutakubali nikiona ukitukanwa au kubagazwa.
Leo Kuna Jambo naliona linataka kufanywa Kama ni ajenda ya...
Mimi si mwandishi mzuri na sina utaalam katika kuandika vema mbele ya waandishi mahiri na magalacha wa habari wanaoandika na maandiko yao na kusomeka na watu wengi yakabaki akili mwa watu kwa...
Hii kauli mbiu ni kama imebuniwa kumsuta mwendazake.
Kwa kweli mimi siyo sukuma gang lakini kaulimbiu hii imekaa kitata zaidi na siyo kisayansi.
Kazi Iendelee!
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye, ameitaka Serikali, iunde tume ya kuchunguza madai ya walimu, waliopandishwa madaraja bila mishahara, waliofutiwa barua za kupandishwa madaraja.
"Serikali ya CCM, ni...
Ukiingia kwenye mtandao wa Twitter hukosi kusoma malalamiko kuhusu uvunjifu wa katiba ambao spika Ndugai ameonekana kuufanya kwa kuruhusu wabunge 19 wasio na chama kuendelea kuwa wabunge. Mimi...
Habar Wana harakat wa jamiforums naomba nitangulize kuomba Radhi kama nitawakwaza kwa ichi nacho taka kuandika
Habar sasaiv Juu ya corona Dunian ipo ila sio kama Ile Ya India sasaiv kila Mmoja...
Nimemkumbuka sana huyu bwana. Huyu ndiye alikuwa Mbunge bhana! Nilifikiri Gambo atakuwa hivyo lakini Gambo wa watu wapi bhana! Yaani bariiiiiiiidiiiii amebaki na agenda yake ile ile ya wageni...
Ni kawaida kwa binadamu kutafuta faraja pale anapoumizwa.
Katika vyama vya siasa watu huumizana sana na kuvurugana, wengine hufikia kiasi cha kutishiana maisha. Ikifika hali hiyo wengine hukimbia...
Kama Rais Samia anafurahia kurudi nyumbani kwa wanachama waandamizi wa CCM, basi ajipange kweli kweli, wanakuja kuimba nyimbo zisizoimbika ugenini.
Wengi sidhani kama mumeelewa dongo alilolipiga...
Nieleze wazi kabisa mimi ni mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi . Kwanza niwape kongole wenzangu baada ya kumpata Mwenyekiti Mpya Mama yetu MH.Samia Suluhu Hassa.
Lengo la kuanzisha uzi huu ni...
Pamoja na kuwa Ndugai kawahakikishia kuwa atawalinda lkn ukiwaangalia machoni hawana amani kabisa mioyoni mwao, kwa vile ni vigumu kwao kurudi Chadema wanatamani aidha waache ubunge wawe raia wa...