Tutawekeza kwenye teknolojia ili watu wasikaguliwe kwa kuvuliwa nguo Mererani

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Kumekuwa na malalamiko kuhusu mgodi wa Mererani kufanya ukaguzi kwa njia ya kudhalilisha ambapo hufanywa hivyo ili mtu asiondoke na madini ya Tanzanite

Katika Ukaguzi imesemekana kuwa watu huvuliwa nguo zote kwa makundi na kuanza kupekuliwa hatua ambayo inaonekana ni ya kudhalilisha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kwa kuwa mgodi unauingizia nchi fedha nyingi watawekeza katika teknolojia ili ukaguzi ufanyike bila kuwekana utupu

Mbali na kutoa ufafanuzi huo hakusema ndani ya muda gani kutakuwa na hiyo teknolojia ili kuepuka adha ya kuvuliwa nguo

 
Aliwahi kusema kuwa wana mtambo wa kutambua Madawa ya kulevya. Wakipita tu mtaani unawaambia nyumba fulani kuna mzigo. Sijui unafanya kazi kweli au ilikuwa chai tu.
 
Back
Top Bottom