Viongozi wazawa wa kanda ya ziwa tunajifunza nini kipindi hiki Cha mabadiliko ya uongozi? Tulisimama kwa Hali?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
May 18, 2019
762
6,980
Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali tumeondolewa jikoni tukahamishiwa sebuleni Jambo ambalo aliyepo jikoni akitaka tufe njaa anaweza kutotuletea chakula akilia huko huko.

Ni kwanini tumepoteana kwa muda mfupi hivi? Je kwa tathimini ya harakaharaka namna tulivyoongoza tulipoteuliwa, je tuliongoza sahihi kwamba keaho watatamani Tena tupate nafasi?

Je, si muda Sasa kwetu sisi kuwaridhisha watoto wetu nafsi zakuthamini watu kuliko kuthamini vitu? Au ushamba ulitujaa tukashindwa kuelewa watu Wana haki sawa? Nashindwa kusema tumekosea wapi Hadi tunatengwa kwa kasi namna hii? Au ndo ile kujiona wote ni Marais?
 
Kanda ya ziwa leo ndiyo wamemtoa mama kimaso maso yeye anajua lakini wewe hujui unajiandikia tu.ccm ni kanda ya ziwa, hata chadema huwa wanang'ára wanapopata support to huko vinginvyo ni weupe huko
 
Kwani Kwenye Chama aliyekuwa na Cheo kutokea kanda ya Ziwa ukimtoa Bashiru Ally Kakurwa kuna nani mwingeine.wakubwa kwenye Chama ni hawa
1.Makamu Mwenyekit-Mangula MTU wa Wangin'gombe- Njombe
2.Bashiru-Kagera
3.Mpogoro-Naibu Katibu Mkuu-mtu wa Wangin'gombe- Njombe
4.Menezi-Polepole-mtu wa Wangin'gombe - Njombe
4.Uchumi na fedha-DR.Hawassi-Mtu wa Ludewa- Njombe

Hao ndio top leaders kwenye Chama,sasa wewe hao wako wa Kanda ya Ziwa umewatoa wapi??
Bora ungesema kuwa watu waliowekwa na Magufuli Mama anaanza kuwatoa tungekuelewa.
 
Ulielewa lakini alichoandika Beatrice?
 
Polepole siyo wa kanda ya ziwa ?
Kwani Kwenye Chama aliyekuwa na Cheo kutokea kanda ya Ziwa ukimtoa Bashiru Ally Kakurwa kuna nani mwingeine.wakubwa kwenye Chama ni hawa
1.Makamu Mwenyekit-Mangula MTU wa Wangin'gombe- Njombe
2.Bashiru-Kagera
3.Mpogoro-Naibu Katibu Mkuu-mtu wa Wangin'gombe- Njombe
4.Menezi-Polepole-mtu wa Wangin'gombe - Njombe
4.Uchumi na fedha-DR.Hawassi-Mtu wa Ludewa- Njombe

Hao ndio top leaders kwenye Chama,sasa wewe hao wako wa Kanda ya Ziwa umewatoa wapi??
Bora ungesema kuwa watu waliowekwa na Magufuli Mama anaanza kuwatoa tungekuelewa.
 
Tatizo lenu ushamba, mlikaribishwa karamuni mkaanza kufakamia kwa mikono yote miwili.
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Nimtizamo wangu kwamba tunaliwa vichwa kimya kimya bila kupigiwa kelele. Nadhani tunapoelekea wale watu wote waliopanda kwa kasi miaka mitano iliyopita na wakashindwa kumaintaini nidham kwa wengine tayari wamekwisha. Kwenye chama tumepotea na hakuna anayetaka kutusikia, kwenye serikali tumeondolewa jikoni tukahamishiwa sebuleni Jambo ambalo aliyepo jikoni akitaka tufe njaa anaweza kutotuletea chakula akilia huko huko.

Ni kwanini tumepoteana kwa muda mfupi hivi? Je kwa tathimini ya harakaharaka namna tulivyoongoza tulipoteuliwa, je tuliongoza sahihi kwamba keaho watatamani Tena tupate nafasi?

Je, si muda Sasa kwetu sisi kuwaridhisha watoto wetu nafsi zakuthamini watu kuliko kuthamini vitu? Au ushamba ulitujaa tukashindwa kuelewa watu Wana haki sawa? Nashindwa kusema tumekosea wapi Hadi tunatengwa kwa kasi namna hii? Au ndo ile kujiona wote ni Marais?
Mada za aina hii zinamsaidia nani hasa?

Na lengo ni nini, kuzidi kufarakanya watu kwa misingi ya kipuuzi kama hii?

Ni nani hasa anayefaidika na kugawanya watu kwa njia za kipuuzi namna hii?

Bado tu hatujajifunza makosa na tunataka kuyachochea zaidi?

Hata kama mtu unafurahia kuona migawanyiko katika jamii, huwezi hata mara moja anagalau ukavuta subira kidogo, kwa matumaini ya kuwa na umoja katika nchi yetu?

Kwa hiyo watu wa Kanda yako tayari wametengwa, sasa unaunda jeshi la mashambulizi ya sehemu nyingine za Tanzania? Wewe utafaidika vipi na hali hiyo!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kanda ya ziwa leo ndiyo wamemtoa mama kimaso maso yeye anajua lakini wewe hujui unajiandikia tu.ccm ni kanda ya ziwa, hata chadema huwa wanang'ára wanapopata support to huko vinginvyo ni weupe huko
Ndiyo hivyo hivyo jeuri na dharau kwa wengine zimetuponza pindi tupewapo nafasi.
 
jamaa walifeli sana

ungedhani kundi LA nguruwe kwenye shamba LA mihogo
 
Wanasema ishi na qatu vizuri ili utakaposhuka, wakutafutie ngazi ya kupanda tena.
 
Hizi siasa za ukabila na kanda tulizoea kuona Kenya.

Sasa zimefika rasmi Tanzania?
 
Mnyonge Mnyongeni ila haki yake mpeni, kwenye kamati kuu ukiondoa Bashiru nani mwingine kanda ya Ziwa?tunapenda sana kusambaza uongo either kwakua hatujui au kwakua tunafanya makusudi kufarakanisha watu.
 
Back
Top Bottom