Spika wa Bunge Job Ndugai, amemuagiza Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) John Mnyika, kuandika barua ambayo ataambatanisha na katiba ya chama chake pamoja muhtasari wa...
Wanabodi...
Tunaelewa baada ya Mh Philip Mpango kupitiwa na lile tatizo la Upumuaji na hatimaye akavuka salama baada ya kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Dodoma wakati...
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson Msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji Mkuu wa Serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini...
Hata kabila ya ujio wa Covid, hakuna tabia ambayo huwa naichukia kama mtu kupigya chafya mbele za watu bila kuziba pua na mdomo kwani mbali na kusambaza magonjwa, lakini pia inachangia sana...
Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito...
CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama
Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM
nchi...
Je mliokisoma kitabu hicho mliona nini kwenye maandishi yake ? hebu tusimulieni na sisi wengine tuelewe .
====
Inaonekana Spika Ndugai alisoma kitabu cha Animal Farm! Bunge chini ya uongozi wake...
Katika mchango wake kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Mbunge wa jimbo la Nkenge (CCM) Frolent Kyombo amelalamikia mateso na adha wanayoipata wakazi wa wilaya za Kyerwa, Karagwe, Missenyi na...
Tuliwahi kuambiwa kuwa siku hizi mfumo wa utumishi wa umma uko kidijitali. Hata barua za promotions za madaraja zitawafikia watumishi baada ya kufanyika mabadiliko na si ile ya zamani kwamba...
Miezi zaidi ya mitano sasa inaelekea huku kukiwa na mvutano baina ya CHADEMA na Wanachama wake 19, walio Bungeni kwa sasa.
Chama hicho kila kinapojitokeza hadharani kinaeleza kuwa Wanachama hao...
Kama ambavyo wasaliti wa Demokrasia wamekuwa wakifa kifo kibaya cha siasa ndivyo Nyalandu anategemewa kumalizwa. CHADEMA kupitia Katibu wake Mkuu kimesema hakitarudi nyuma kwenye mapambano ya haki...
Nina maswali machache sana.
Kwanini Tulia Ackson alilidanganya Bunge na umma wa Watanzania kuwa ofisi ya Bunge haijapokea barua ya kuwafukuza Uanachama Wabunge wa Covid-19 wakati kiuhalisia...
Mbunge Bernadeta Mushashu ameitaka Wizara ya Elimu pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kukubali kuna tatizo katika mfumo wa Elimu wa hapa Nchini. Amesema hayo leo Bungeni Dodoma.
Ameeleza...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu wa mwisho (last born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu;
Mawaziri wa afya...
Kuna vijana watano wapo mahabusu ya Kituo cha Polisi cha Bugarama wilaya ya Msalala wanateswa kikatili, walikamatwa siku zaidi ya kumi zilizopita wakituhumiwa kuiba TV ya hawara yake na Polisi...
Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe.
Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma...
GENDER STIGMATIZATION: CHADEMA KUSHINIKIZA KUFUKUZWA WABUNGE VITI MAALUM
CHADEMA leo Mei 4, 2021 wanatarajia kuzungumza na vyombo vya habari kwa lengo la kumjibu Spika Job Ndugai ambaye jana...
PDF la Lazaro _ Part 1.
Kwa kuwa Mh Lazaro umerudi CCM, na umerudi kwa kuomba Msamaha, kwa dhati kabisa ukapokelewa pale kwenye mkutano mkuu maalumu wa kumchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa, na kwa...