Gerson Msigwa ni Msemaji wa Serikali au Msemaji wa Ikulu?

Msitari wa pambizo

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
2,880
4,883
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson Msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji Mkuu wa Serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
 
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Mimi sielewi maana anao ekana msemaji wa ccm serikali na ikulu kwa ujumla
 
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Anaweka saini kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, kwenye saini yake kushoto kuna mstari uko slanted, kuashiria AMESIGN KWA NIABA. Chunguza saini/sahihi zake za nyuma enzi za JPM na za sasa enzi za SSH
 
Kama sijakosea ni Mkurugenzi wa Mawaziliano Ikulu na pia msemaji mkuu wa serikali
 
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Sikumbuki kama msemaji wa Ikulu aliteuliwa nafkr bado ana kaimu yeye
Jamani hebu tuacheni 'Nongwa' rejeeni katika zile 'Teuzi' za Mama baada ya kufanya Mabadiliko ilitangazwa wazi kabisa kuwa Gerson Msigwa ni both Msemaji wa Ikulu na Serikali.

Tujitahidi sana Kufuatilia Habari nchini ili tusije kuonekana ni Watu 'Wapuuzi' ambao tumekalia tu Majungu na Uswahili Uswahili tupu. Kuna Mambo yanasikitisha na Kukera pia.

Cc: tashwishwi
 
Naomba nitolewe gizani kidogo kuhusu itifaki za mambo ya mawasiliano serikalini. Gerson msigwa hivi karibuni aliteuliwa na Rais kama msemaji mkuu wa serikali. Lkn naona bado anaendelea kusaini papers kama mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu. Which is which hapa
Unaonekana humpendi Gerson Msigwa, wala usihangaike through trend reading huyo anaonesha hana siku nyingi atatolewa kwenye hicho cheo cha msemaji wa ikulu, kuteuliwa kuwa msemaji wa serikali ni kama njia ya kuelekea kumchomoa ikulu
 
Anaweka saini kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais-Ikulu, kwenye saini yake kushoto kuna mstari uko slanted, kuashiria AMESIGN KWA NIABA. Chunguza saini/sahihi zake za nyuma enzi za JPM na za sasa enzi za SSH
Rais ndio Serikali yenyewe
 
Jamani hebu tuacheni 'Nongwa' rejeeni katika zile 'Teuzi' za Mama baada ya kufanya Mabadiliko ilitangazwa wazi kabisa kuwa Gerson Msigwa ni both Msemaji wa Ikulu na Serikali.

Tujitahidi sana Kufuatilia Habari nchini ili tusije kuonekana ni Watu 'Wapuuzi' ambao tumekalia tu Majungu na Uswahili Uswahili tupu. Kuna Mambo yanasikitisha na Kukera pia.

Cc: tashwishwi
mtu ambaye hafuatilii mambo anakua ni mswahili mswahili?! 😲
 
Msigwa angali hata signature yake inajieleza kuwa ni kaimu mana kuna single slash
 
Back
Top Bottom