Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

I'm asking myself if this face is a human being or something fabricated in the workshop.
2 Reactions
6 Replies
208 Views
https://youtu.be/GyaJZGMF0a4
0 Reactions
0 Replies
138 Views
"Chama hiki ni chama cha watanzania wote, hiki ndo chama pekee kisicho na ubaguzi, hiki ndo chama pekee kinachojali vyama vyote, hiki ndo chama pekee kinachojali utu wa watanzania, chama cha...
2 Reactions
14 Replies
267 Views
Kiongozi anatakiwa kuwa Chaguo la Mungu, Wengine wanapata uongozi kwa Dhuruma, Rushwa, wewe uliyeingia kwa njia hizo sio chaguo la Mungu, na Mungu anakukataa kama alivyomkataa sauli. Padre Denis...
8 Reactions
11 Replies
287 Views
Kwa sababu mpaka sasa Tundu Lissu sio mfungwa bali wanaomshikilia inaonekana wameamua kumfanya mahabusu wa kudumu ndani ya magereza itakuwa vizuri wampeleke akamzike Edwin Mtei mwanzilishi wa...
1 Reactions
3 Replies
198 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kuna watanzania wenzetu kwa kuungana na maadui zetu kwa chuki zao binafsi walidhamiria na kupanga kuliangamiza na kuliteketeza kabisa Taifa letu. Walidhamiria...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu, Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya...
8 Reactions
16 Replies
474 Views
Hii nchi inanuka uonevu kila mahali, sasa kosa la huyu ninini.....Samia suluhu utalipa kwa haya unayowafanyia watanzani....Jeshi la polisi la TZ ni jeshi la hovyo kuwahi kutokea duniani... George...
45 Reactions
168 Replies
4K Views
Tuna mambo mengi na muda mchache au mfupi wa kuyasikiliza. Mzee Butiku kamaliza kusema. Kapingwa na kupuuzwa. Lakini tujiulize: Saa mbovu ikisema muda sahihi tutaitii na kuamka au tutapuuza? Mzee...
10 Reactions
13 Replies
491 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimetangaza dhamira yake ya kujenga chuo cha kumbukumbu kwa ajili ya kumuenzi muasisi wa chama hicho, Mzee Edwin Mtei. Kwa mujibu wa chama hicho, chuo...
7 Reactions
23 Replies
516 Views
Kwa muda mrefu Mzee Butiku alikuwa anaheshimika ndani ya CCM na vijana kwa ujumla. Ndani ya CCM aliheshimika kama mmoja wa waasisi na mlezi wa vijana. Pia viongozi wa CCM walikuwa wakienda kwake...
10 Reactions
19 Replies
460 Views
Mbele ya mwili wa Jenista Mhagama na kabla hajazikwa kiongozi mkubwa katika moja ya mihimili alinukuliwa akisema Victor Mhagama, mtoto wa Jenista arithi Ubunge wa Jimbo la Peramiho. Hii ilikuwa...
3 Reactions
9 Replies
324 Views
Mzee Butiku anaongea muda huu na wazee jijini Dar es salaam. Aidha alizungumza kuhusu hali ya kisiasa nchini, akigusia masuala ya demokrasia na nafasi ya vyama vya siasa. • Alitaja hoja kuhusu...
3 Reactions
13 Replies
581 Views
RAIS STUBB - UMUHIMU WA USULUHISHI, MARIDHIANO, AMANI NA HAKI Hotuba ya rais Alexander Stubb jijini Dar es Salaam akiendelea na ziara yake nchini Tanzania Rais wa Jamhuri ya Finland Picha...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Rostam kunyamaza sio bahati mbaya!Anaona mbali. Anajua mambo sio mazuri na asipokuwa makini naye anaweza kuhusishwa na kesi ya Mama ya mauaji huko EU. Lakini anaogopa kampuni zake zisiwekewe...
6 Reactions
12 Replies
404 Views
Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko. Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya...
2 Reactions
5 Replies
216 Views
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Idara ya Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Ndg. Rabia Abdalla Hamid akiwa na Balozi wa Msumbiji nchini Tanzania, Ricardo Ambrosio...
0 Reactions
4 Replies
138 Views
"Chama kinachohubiiri amani nyinyi ni mashaidi ni chama cha mapinduzi peke yake, tukija hapa tutasema dumisheni umoja, upendo na mshikamano, tukija hapa tutasema lindeni amani ya nchi yetu, tukija...
1 Reactions
8 Replies
235 Views
Wakati akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema...
2 Reactions
28 Replies
1K Views
Tukijadili kwa kina na kwa mapana yake.. Pengine wahusika wanaweza kuamka usingini na kuelewa LAKINI kabla ya yote Polepole aliwahi kutuasa tusikubali MARIDHIANO YOYOTE baada ya uchaguzi mkuu wa...
22 Reactions
94 Replies
2K Views
Back
Top Bottom