Salaam!
Nani hasa hupata usingizi mwororo usiku?
1. Ni Samia mwenye godoro nzuri ,chumba kizuri chenye AC kimezungukwa na askari wa Kila aina wenye silaha mbalimbali?
2. Ni Tundu lissu aliyeko...
Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu ushiriki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uzinduzi wa Mkutano wa Afya kati ya nchi za Nodiki na Afrika uliofanyika tarehe 22...
Tunapozungumzia utendaji Serikalini, msisitizo ni uadilifu na uwajibikaji wa Serikali kwa wananchi waliotuchagua ili kuhakikisha wananchi wananufaika na rasilimali za nchi pamoja na kupata huduma...
Hotuba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ilitoa maelekezo na kubainisha changamoto pamoja na majukumu yanayotupasa kuyatekeleza kwa kushirikiana na wananchi na wadau wengine wa...
Mwenyekiti wazamani wa CHADEMA Freeman Mbowe akiwa na vijana na makada wa zamani wa CHADEMA ambapo walihamia kwenye chama Cha CHAUMMA .
Vijana wanajichekesha tu wenyewee
" Niwaombe watanzania wenzagu hii nuru tuliyonayo si kitu cha bedha wala siyo kitu cha kutikisa na kwenda kujaribu, na wasahili wanasema sumu haijaribiwi kwa kuonja tumejionea sisi wenyewe...
Magufuli yeye aliigeuza chato kuwa IKULU na Kuna siku aliwaapisha mawaziri pale nyumbani kwake alipo zikwa tukahoji tukaambiwa bwana IKULU ya Dsm ni NZITO mno unaitaji kusafishwa.
Baadae...
Samia Suluhu Hassan hana cha kutuambia Watanganyika. Yaani atasema nini ambacho kitafanya tumuelewe miezi Miwili baada ya kuua watoto wetu?
Uongozi wake umeua watu zaidi 6a Waliokufa vita ya...
Huyu kijana ni miongoni mwa watoto wa viongozi wa Kiafrica waliolewa madaraka ya Baba zao , amejaa dharau , kiburi na Majivuno ya kijinga sana , ana kiburi kuliko hata watoto wa Saddam Hussein ...
Huyu Samia sijui kama yuko sawa kwenye bichwa lake,analinganisha mauaji ya October 29,2025 na mauaji ya Zanzibar yale ya mwaka 2001,huku akidai ni jambo la kawaida,
Sawa mauaji ni mauaji lakini...
Wanabodi,
Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu...
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza...
GT
Nawashangaa sana ninyi mnaojaza server za JF kwa habari za wahuni wamekaa kumsifia Samuya.
Hiyo ndo.kazi ya mbunge? Hilo bunge siyo halali hawatakiwa kupewa airtime hata kidogo..
Maana...
Pascal Mayalla aliandika "Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.
Mungu ambariki sana Mama Samia na...
Balozi Mahmoud Thabit Kombo, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ashiriki zoezi la upandaji miti kama ishara ya kumuunga mkono Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri...
Hii ilikuwa kwenye msiba wa Bob Makan ambae na yeye alikuwa mmoja wa Waasisi wa Chadema na yeye alikuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.
Jeneza la Bob Makani lilifunikwa bendera ya Chama...
Kibamba wengi bado tunalazimika kununua maji ya chumvi
Licha ya Serikali kukiri kuwa Tanzania si masikini wa vyanzo vya maji, bado kero ya maji imeendelea kukithiri hasa kwa miji mikubwa kama Dar...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.