Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
Bongo zozo amepost picha ya watoto wake na kuandika "madini niliyoiba" huku akiweka wazi kuwa watoto wake wamepolwa uraia wa Tanzania na serikali.
Aidha maneno yake ya "madini niliyoiba" yamezua...
Yale mauaji ya October 29 yaliyo ongozwa na Polisi wetu kuanzia aliesababisha mpaka alieshiriki kuua hapaswi kua Ofisini sasa hivi.Aliekua anampa report Rais kua wale ni raia kutoka nchi jirani...
𝗝𝗘, 𝗦𝗘𝗥𝗔 𝗭𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜 𝗭𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗭𝗜𝗠𝗘𝗟𝗘𝗧𝗔 𝗠𝗔𝗚𝗘𝗨𝗭𝗜 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜?
Tangu kupata uhuru, sera za uchumi za Tanzania zimepitia mabadiliko makubwa—kutoka mfumo wa ujamaa wa 𝗨𝗷𝗮𝗺𝗮𝗮, hadi uliberali wa soko...
Tume ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Januari 19, 2026, imekutana na Wananchi wa Wilaya ya Temeke kwa lengo la...
Nilipoona mtandaoni tu yakuwa siku yako ya KUZALIWA utaisherekea kwa kupanda miti, hapo hapo nikaanza mazoezi ya kunywa maji nikojolee miti yako istawi vyema.
Unasherekea miaka ya kuishi ili hali...
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 22, 2026, imekutana na viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa...
Ujui yakuwa ccm walipokosa RUSHWA WALIITUMIA mtutu wa bunduki kuua watu na kuwazika kwenye shimo Moja kama Taka taka?
Leo hii unamshangaa mtoto wa mhagama kituumiwa kutoa 500m Ili arisi nafasi ya...
Mpaka anaondoka Mbowe ilikuwa ni sehemu ya CCM kudanganya jumuia ya kimataif kuwa kuna upinzani nchini.
Ilikuwa ipo kibiashara zaidi ili kunufaisha matumbo ya mabwanyeye waliojipachika jina kuwa...
Naamini Jamii Forums ni kisima cha Maarifa ni kwamba huwa kuna Mkataba kati ya Airtel na Mteja hizi Agreement mara nyingi huwa ni ndefu na zimeandikwa kwa maandishi madogo lakini pia zinatumia...
Kampuni ya airtel sio kampuni ya kisiasa tunajua kilichotokea ni shinikizo na hii haifanyi kampuni imuunge mkono bali amejiongezea kesi madaraka yanaisha haya mtaona airtel ikimfungulia kesi hii...
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa...
Balozi wa Marekani Burkina Faso, Joann Lockard, ameomba kuonana na Captn. Traore, ila Captn akamjibu ana shughuli nyingi na akamtuma Waziri wake wa Mambo ya nje,mwezi huu.
Utakumbuka nimeripoti...
Iran, nchi ambayo kabla ya mapinduzi ya Kiislam, ilikuwa ndiyo nchi pekee yenye uchumi mzuri uliokuwa unakua kwa kasi Mashariki ya kati, leo wananchi wake, chini ya utawala shetani wa Ayatollah...
Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura.
Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate?
Je...
Mkurugenzi wa Msama Promotion Alex Msama amewaasa wanatanzania kuwapuuza watu wanaochafua viongozi na watoto wa viongozi kwani wamenunuliwa kwa kupewa pesa nyingi ili tu kufanya hivyo kwa leo la...
Wakuu!
Alex Msama ameshangaa Viongozi wa Dini kufanya Siasa Makanisani akidai kuwa si rahisi kutumikia mabwana wawili na ukimtukana Rais Samia, unamtukana Mungu maana ndiye kampa Mamlaka.
Kwa haya matukio yake na maneno yake mabaya, hafai kabisa kuwa sehemu kama hii, naona hata mwaka 2024 ni kama walimpa tu!
===================
Samia hakuwemo kwenye orodha ya Forbes
Rais wa...
https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI?si=34CGu0w1t3vdHky0
Leo taasisi ya Mwalimu Nyerere Foundation ilikusanya wazee na kujadili mauaji ya zaidi Watanganyika 10,000 yaliyofanywa na serikali ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.