Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Miongoni mwa maazimio ya wazee waliokutana leo kujadili kilichotokea Oktoba 29 ni kuundwa kwa Baraza la Taifa la Vijana litakalolenga kuleta maendeleo na kuimarisha uzalendo miongoni mwa vijana...
0 Reactions
6 Replies
199 Views
Kuna dhana inajengwa Kwa miaka zaidi ya 25 Sasa, kuwa vyama vya upinzani vifutwe kibaki chama kimoja tu CCM. Huwa sielewi akili za watu wanaowaza kuwa kama Tanzania vyama vingine inawezekana...
0 Reactions
0 Replies
134 Views
Chadema imenajisiwa na akina Lissu, Heche na Mnyika. Chama cha waluteri kimeibiwa na wakatoliki na kikaratibu kuichoma nchi kama short cut ya kuipundua serikali; lakini wakashindwa vibaya sana...
2 Reactions
35 Replies
562 Views
Mzee Butiku na Genge lako la Wazee wahuni huni ,Wazee wa Hovyo, tuliwakataa kitambo sana.
0 Reactions
2 Replies
147 Views
Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini kupitia CHADEMA, Aida Kenan asema kama vya vyama vya upinzani havitakiwi nchini ni bora kuvifuta vyote ili watu wasiendelee kuuawa na kuumizwa na kibaki chama...
5 Reactions
8 Replies
220 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinauarifu umma kuwa namba ya simu ya Mrugenzi wa Mawasiliano na Uenezi wa Chadema, Mhe. Brenda Rupia 0789160733, iliyokuwa ikitumika kuchangisha...
7 Reactions
59 Replies
966 Views
Nimemfuatilia huyu kijana kwa kitambo kirefu, Hakika Kuna vyeo ndani ya ccm bila shaka vinapatikana kwa Uchawi. Huyu hana uwezo kabisa wa kuwa Kiongozi katika ngazi yoyote Ile, Lakini anateuliwa...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Makamu Mwenyekiti Bara CHADEMA, John Heche, amesema kuwa chama hicho ndicho cha siasa kikuu nchini Tanzania na hakipaswi kulinganishwa na CCM, kwa kuwa njia pekee zinazotumika kudhibiti chama...
8 Reactions
18 Replies
405 Views
Akiwahutubia wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa...
1 Reactions
12 Replies
297 Views
Kuna watu wameishiwa hoja wamegeuka kuwa vyama vya vurugu, nchi yetu inaongozwa kwa misingi ya demokrasia na katiba yetu inatutaka hivyo na chama cha mapinduzi tunaheshimu demokrasia ya vyama...
0 Reactions
2 Replies
205 Views
Mzee Butiku anaitisha Mkutano wa wazee kwa kutumia kigoda cha Mwl Nyerere kujadili matukio ya Octoba 29 sambamba na uchunguzi wa Tume ya Rais inayoongozwa na Jaji Chande kwenye jambo hilohilo...
2 Reactions
25 Replies
579 Views
  • Redirect
𝗧𝗨𝗡𝗔𝗧𝗔𝗞𝗔 𝗞𝗔𝗭𝗜 𝗭𝗔 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗞𝗔𝗟𝗜 𝗭𝗜𝗙𝗔𝗡𝗬𝗜𝗞𝗘 𝗠𝗔𝗞𝗔𝗢 𝗠𝗔𝗞𝗨𝗨 𝗬𝗔 𝗡𝗖𝗛𝗜 - 𝗗𝗞𝗧. 𝗠𝗪𝗜𝗚𝗨𝗟𝗨 Asisitiza Taasisi za Serikali zinapaswa kufahamu kwamba makao makuu ya nchi ni Dodoma WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba...
0 Reactions
Replies
Views
Mwenyekiti wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ambaye ni kipenzi cha wanachama anatarajia kujitosa katika mbio za kuania uwenyekiti wa CHADEMA. Uchaguzi huo unaitishwa baada ya...
2 Reactions
21 Replies
751 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefafanua kuwa kuzuiwa kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya shughuli zake za kisiasa hakutokani na uamuzi wa CCM wala Serikali, bali ni maagizo ya...
1 Reactions
36 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku amesema kuwa katika siku za hivi karibuni Tanzania imepitia kipindi kigumu kilichosababisha taifa kutetereka, lakini...
1 Reactions
4 Replies
219 Views
Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Singida kimewaonya baadhi ya wananchi wanaotumia imani za kishirikina kukwamisha miradi ya uchimbaji wa visima vya maji. Kimesema hali hiyo inachangia...
1 Reactions
7 Replies
231 Views
Jana tarehe 21 hapa Mbeya hawa vijana wa Chadema walikuwa na shughuli zao za kumbukumbu ya miaka 33 ya chama chao , kama kawaida walipita pita kwa wadau wao kuomba kuchangiwa na kukaribisha watu...
2 Reactions
16 Replies
305 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewasili muda huu katika msiba nyumbani kwa marehemu Edwin Mtei, aliyefariki dunia Januari 19. Mtei alikuwa ni...
5 Reactions
11 Replies
744 Views
Akizungumza leo Januari 22, 2026 katika Mkutanao na wazee wa jiji la Dar es Salaam, Mzee Butiku amesitisha mkutano huo kurushwa mubashara akiwataka waaandishi wa habari kuwapisha na kwamba...
5 Reactions
20 Replies
670 Views
"Chama chetu [CHADEMA] kitajenga Chuo cha Kumbukumbu ya Edwin Mtei pale kwenye viwanja vyetu Dar es Salaam, eneo la Soga ili kiwe kinafundisha vijana wetu uadilifu, uongozi, namna ya kupinga...
4 Reactions
12 Replies
328 Views
Back
Top Bottom