Kauli hizi za Rais Samia akihutubia Mabunge ya Kenya alikuwa anawalenga wakina nani?

RTI

JF-Expert Member
Dec 20, 2018
2,423
7,124
Kauli zenyewe ni hizi hapa.


FB_IMG_16202348456055240.jpg
FB_IMG_16202348196057715.jpg
 
Anamlenga Mwendazake na Misukule yake aliyoiacha duniani!!

Kwavile Mwendazake ni Malaika, na Mama Samia anafahamu hilo, kwahiyo mama anajua kwamba atausikia ujumbe huko huko aliko!

Misukule ya Mwendazake inaipaisha sana Kenya bila wenyewe kujijua!

Yaani wanaichukulia Kenya kama beberu fulani hivi ambalo tukifanya masihara tu, litakuja kututawala na kutupokonya kila kitu wakati Tanzania tuna uwezo mkubwa wa kuwakilisha hawa Manyang'au badala ya kuwaogopa!!

Lakini hii Misukule siwezi kuishangaa manake huwa inafanya choyo na inda hata kwa baadhi ya sehemu za Tanzania yetu, seuze nchi jirani!
 
Nitauza mahindi yangu kwa bei nzuri watoto wangu wataenda Shule nzuri
 
Back
Top Bottom