Ni mshikamano wa ajabu, wapinzani wamepigwa na butwaa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.

Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa CCM wasingekubali kuongozwa na mwanamama.

Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.

Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.

Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
 
Kuna mshikamano gani wakati mnatembea na maji ya kunywa mkononi.Ukijisahau kidogo unawekewa sumu ufie mbali.Huo ni sawasawa na mkusanyiko wa wachawi!!! :eek: 🤣🤣🤣
Acha utani wa kitoto.
 
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa....
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee.

Katiba kuvunjwa si jambo la kushangaza kwa serikali hii ya CCM. Mifano ipo mingi.1) Kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na watu kutoa maoni yao.

2) Kuwapa ubunge watu kinyume na katiba
3) Kufanya matumizi nje ya ya badget iliyoidhinishwa na bunge kama inavyoagizwa na katiba, orodha ni ndefu.
Kama ni kuvurugana kutokana na kuvunja katiba ingekwisha vurugwa.
 
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.

Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.

Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.

Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.

Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Kwani lile kundi la mitano tena 🤣 na tupumpunguzie majukum Rais asiwe mwenye kiti wa chama wamefikia wap saiv?
 
Wapinzani wa Tanzania wao huwa wanawaza maslahi yao muda wote. Hivyo hawajali kabisa manufaa ya taifa.

Alifopafariki JPM wao walikuwa wanajua kutatokea mgongano wa kugombea nafasi ya urais hasa wakijua kuwa Ccm wasingekubali kuongozwa na mwanamama.

Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee. Wapate ya kusema na kufuruhaia mtafaruku ukitokea.

Leo hii mambo ni shwari Ccm imeonyesha ukomavu wa kisiasa. Hakuna kilichoharibika na katiba haijavunjwa.

Sasa hivi Dodoma mambo yanakaribia kuiva.Kwa hakika ni mshikamano wa hali ya juu.
Nani kakwambia hayo?
 
Hivyo wao walitegemea CCM ivurugane na wavunje katiba ili ugomvi mkubwa utokee.
Katiba kuvunjwa si jambo la kushangaza kwa serikali hii ya CCM. Mifano ipo mingi.1) Kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa na watu kutoa maoni yao
2) Kuwapa ubunge watu kinyume na katiba
3) Kufanya matumizi nje ya ya badget iliyoidhinishwa na bunge kama inavyoagizwa na katiba, orodha ni ndefu.
Kama ni kuvurugana kutokana na kuvunja katiba ingekwisha vurugwa.
Hilo la kuwapa watu ubunge kinyume na katiba sina uhakika.

Ila ibara ya 30 inakupa majibu haki nazo zinamipaka.
 
Back
Top Bottom