Twitter na hashtag ya #KikweteMzaziFDL.

Twitter na hashtag ya #KikweteMzaziFDL.

kadoda11

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
21,453
Reaction score
20,757
Kwa siku kadhaa sasa ninapokuwa twitter,nakutana na hashtag ya #KikweteMzaziFDL ikiwa sambamba na tweets zinazomshambulia raisi wetu Jakaya Kikwete na tuhuma za kuunga mkono kikundi cha FDLR.

Nimebaini tweets zote zinatoka kwa watu ambao sio raia wa tanzania.cha ajabu hakuna mtz hata mmoja anayejaribu kupangua kashfa za hawa jamaa dhidi ya raisi wetu.

Najiuliza tatizo ni nini?kizungu au kutojua kuutumia vizuri mtandao wa twitter.

Kundi la team lumumba ule uzalendo wenu mnao uonyesha jf wa kutetea chama na raisi muonyeshe pia kule.raisi anadhalilishwa.

Hii inawahusu sana wale ambao kwa namna fulani tunahisi wapo ktk payroll pale lumumba hasa FaizaFoxy MwanaDiwani Ritz Simiyu Yetu na wengineo.

Kuna wakati huwa nawasifu sana akina lawmaina78,pamoja na kwamba wapo ktk majanga mazito ya kichapo cha alshabab,wanapo chokwoza kupitia twitter, "tweef" lake huwa si la kitoto na siku zote huibuka washindi.hawa jamaa kwa online verbal warfare nimewavulia kofia.lol

CC murutongore jMali MUKAMASIMBA
 
Last edited by a moderator:
Wengine hatuna mazoea ya kupitia huko. Ahsante kwa kutujulisha.
 
Acha ku amplifier, litajifia lenyewe mkuu maana hiyo ndo kawaida ya upuuzi.
 
Kwa siku kadhaa sasa ninapokuwa twitter,nakutana na hashtag ya #KikweteMzaziFDL ikiwa sambamba na tweets zinazomshambulia raisi wetu Jakaya Kikwete na tuhuma za kuunga mkono kikundi cha FDLR.

Nimebaini tweets zote zinatoka kwa watu ambao sio raia wa tanzania.cha ajabu hakuna mtz hata mmoja anayejaribu kupangua kashfa za hawa jamaa dhidi ya raisi wetu.

Najiuliza tatizo ni nini?kizungu au kutojua kuutumia vizuri mtandao wa twitter.

Kundi la team lumumba ule uzalendo wenu mnao uonyesha jf wa kutetea chama na raisi muonyeshe pia kule.raisi anadhalilishwa.

Hii inawahusu sana wale ambao kwa namna fulani tunahisi wapo ktk payroll pale lumumba hasa FaizaFoxy MwanaDiwani Ritz Simiyu Yetu na wengineo.

Kuna wakati huwa nawasifu sana akina lawmaina78,pamoja na kwamba wapo ktk majanga mazito ya kichapo cha alshabab,wanapo chokwoza kupitia twitter, "tweef" lake huwa si la kitoto na siku zote huibuka washindi.hawa jamaa kwa online verbal warfare nimewavulia kofia.lol

CC murutongore jMali MUKAMASIMBA

Hiyo ni michezo ya cowards nyuma ya keyboard, sisi yetu uwanjani. si unajua ada ya mja kunena muungwana ni vitendo? hao jamaa wawaulize hawa jamaa https://[B]twitter[/B].com/Movement23 majigambo yao yaliishia wapi?

Pia kwa faida yako pitia hii uone jinsi jamaa walivyo cowards!
https://medium.com/@steveinafrica/richardgoldston-backstory-part-1-f25542c88786
 
BiEQqENIMAA142l.jpg


A stray tweet may have exposed Paul Kagame's Twitter ghostwriter, and maybe much more - The Washington Post
 
Back
Top Bottom