BAKWATA: Sikukuu ya EID EL-FITR itakuwa Alhamisi 13/05/2021 au ljumaa 14/05/2021 kutegemea kuandama kwa mwezi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,480
9,241
photo_2021-05-05_16-19-17.jpg
 
Bora iwe alhamisi
Unapenda kulala sana eeh.... ndo maana uncle alipata tabu sana. Watu kuwa wavivu na kupenda starehe sisizo na kikomo... fanyeni kazi... fanyeni kazi kwa bidii ili msisubiria kufunguliwa kama kuku kwa ajili ya kupumzika kama kuku...
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom