Heshima sana wanajamvi,
Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu...
Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za...
KWA HILI LA BISWALO, CHADEMA TUJITAFAKARI KWA KINA!
Na, Julian Chacha – RORYA
Hivi karibuni kumeibuka utaratibu mpya wa kuitumia CHADEMA kama daraja la kupitisha hoja zenye maslahi binafsi kwa...
Mkuu wa mkoa wa Tabora amesema mkoa wake umepokea vitambulisho vya mjasiriamali 69,000 na ameahidi vyote vitachukuliwa na wajasiriamali.
RC amesema mwaka juzi walipewa vitambulisho 71,000...
Vijana Hawa wa kizazi hiki wa CCM Ni tofauti kubwa Sana na vijana wa wakati ule,enzi za akina Mwalimu,Malechela,Kikwete,n.k.
Hawa walikua na hoja kwenye mijadala mbalimbali na hata ya Kimataifa...
Hii ndio Taarifa ya serikali ya Tanzania iliyosambazwa kwa vyombo vya habari .
Shughuli hizo zitafanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete .
Watanzania sijui tuseme kuna kitu hakipo sawa kwenye vichwa vyetu.
Marais wastaafu wawili waliisha andika vitabu kuhusu maisha yao tangu utotoni mpaka madarakani.
Wameonyesha kwenye maandishi...
Habari za Jumapili wanajamii
Naamini mko vzur na weekend ikiwa inaisha taaratibu ila kwa uhakika.
Leo nimepita pita kwenye mitandao ya kijamii nimeona baadhi ya wanawake wakiwa wanalalamika...
Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT.
Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki.
Kadhalika...
Baada ya Amos Makalla aliyekuwa Katibu wa uchumi na fedha wa CCM Taifa kuteuliwa kuwa RC na kuletwa Mbeya kujifunza uongozi na baadaye kushindwa na kutimuliwa , akaletwa kada mwingine aliyeitwa...
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzini na Makamo wa Rais wa Tanzania leo Mei 26, 2021 amepiga kura kwenye Uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Buhigwe.
Dkt Mpango amepiga...
Sasa imepita wiki usafiri unaotumika kutufikisha mjini ni bodaboda na bajaji hali ambayo imepelekea maisha yetu kuwa magumu. Chukulia route ambayo mtu anatumia 800 kwenda na kurudi saizi inabidi...
Kumbukumbu zangu zinaonyesha, mara kadhaa manaibu waziri wa wizara ya kilimo wanapata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa
Nakumbuka mzee Stephen Masato Wassira, alikuwa naibu waziri...
Kwa heshima na taadhima mama yetu wa Taifa, mkuu wa nchi na amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya ulinzi na usalama napenda kwanza kukusalimu "Kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania". Ama baada...
Hiki kitabu cha mzee Mwinyi kimejibu maswali mengi sana na unaweza kuamini kabisa CCM inakwamisha mambo mengi kwa maslahi yake binafsi.
Mzee Mwinyi anasema Nyerere alipendekeza pawepo na mgombea...
Makocha wanatofautiana nataka Lengai ulifahamu hilo. kuna wakati wanatoa wachezaji na kupimzisha mchezaji kwa sababu ya mechi ya Fainali na kwa sababu zingine maalum.
Timu imeshafika robo fainali...
Utamaduni wa kujivutavuta sio mzuri kwa taifa na wananchi wetu. Hasa kwenye idara za serikali
Tume ya kutafuta chanjo nayo inejadili ......... badala ya kufanya maamuzi
Wakezaji wanazubaishwa...
Huo ndio ukweli. CCM wanafanya wanavyotaka inavyoonekana kwa sasa wapinzani wamekaa kimya wakiangalia ni kwa jinsi gani CCM wanavyopapatuana, na yote haya ni kutaka kuudanganya umma kuwa sasa CCM...