Balozi Joseph Edward Sokoine alimtembelea Tundu Lissu Hospital Belgian baada ya tukio hili alirejeshwa nyumbani haraka.
Leo Mh Rais Mama Samia Suluhu kamteua kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya...
MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA BUHIGWE
Mgombea wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Buhigwe Felix Kavejuru amepata ushindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo baada ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani Atakuwa mgeni rasmi kwenye hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Ushonaji.
Kiwanda hicho cha ushonaji ni mali ya Jeshi la Polisi...
Wakuu,
Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa...
Kwema wakuu.
Palestine wametepeta, wameshakubali yaishe. Miaka Saba ijayo nchi yote itakuwa imekaliwa na Simba wa yuda
Kuwaonea huruma Palestine ni kupoteza muda, kwani watu wanaopigana nao ni...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa...
Habari wadau!
Hili ni jambo jema sana pongezi kwa mheshimiwa rais Samia Hassan.
Ila nilikuwa namuomba rais kupitia kiti chake aliombe bunge kuangalia upya ile sheria ya kale kamshikaji...
Mama ana msimamo tofauti kabisa na mtangulizi wake.
Hapendi kabisa wananchi kuonewa.
Pamoja na kuongea hadharani, lakini hata teuzi zake zimeongea hivyo.
Vyombo vilivyotumika na Mwendazake...
Wanabodi,
Tangu kuibuka kwa Mlipuko wa Corona, umetufundisha mengi, moja wapo ni jinsi wanasiasa wetu, mawaziri wetu, madaktari wetu, na wataalamu wetu kuchanganya siasa na professionalism katika...
Ndugu zangu, tukaeni mkao wa kula. Kwenye hili la chanjo uwezekano wa Tanzania kuibuka kidedea chini Rais Magufuli ni mkubwa sana ili iwe fundisho.
Kitendo Cha watu huko China kukamatwa...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huwaletea mfululizo wa makala zangu elimishi za kuhamasisha uzalendo zinazoitwa "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa ziko kwa mtindo wa maswali. Makala ya leo sio ya...
Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa.
Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM...
Zitto Kabwe amewaambia wanaoizodoa Act-Wazalendo kwa kushiriki Uchaguzi Mdogo kuwa wanasumbuliwa na ushamba.
Haya ameyaandika baada ya baadhi ya watu ambao anawaita ''wenzetu'' kuanza kumzodoa...
Chadema walisusia uchaguzi jimbo la Lazaro Nyalandu Singida kwa madai ya Tume huru ya Uchaguzi na Katiba mpya
Wakaja kushiriki Uchaguzi ndogo wa Kinondoni Wakasusia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
Habari wana JF,
Leo nimeota ugomvi ukitokea mahali sababu mume amefiwa na mke na kwa mujibu wa dini yake akaoa/anaoa mke mwingine. Hata hivyo mambo sio mepesi ingawa yote yamefanyika kwa MAPENZI...
Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo.
Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona...
Huyu ukiacha tukio lake la kuchapa viboko (tena watoto wa shule) hamna sehemu record ya matukio yake ni njema tu kwa kuwa hakuwa mtu wa visa visa.
Yeye anamaliza hapo hapo halafu kwa hekima zenye...
- Kiukweli kabisa nmekua impressed na ule mfumo wa (IRON DOME) wa israel, na nadhani izi siasa za ajira ifike sehem ziwe na mwisho sasa, haiwezekani kila mwaka ombi kubwa la wasomi linakuaga ni...
Nimemsikia Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe wakati akihutubia Wananchi amerudia msimamo wa CHADEMA kutoshiriki chaguzi.
Amesema “Hatutashiriki Uchaguzi wowote, bado mifumo ya Uchaguzi ni...