Chanjo ya SPUTNIK Pekee ikiuzwa kwa watu 7.9billion ni sawa na dollar billion 107.44

Corticopontine

JF-Expert Member
Sep 20, 2019
664
1,272
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo
 
Ukitaka ukosane nao, "wakuzirie" kila kitu chako waambie huku kwetu ugonjwa huo hauna athari zaidi ya malaria, ukimwi na kipindupindu vyote kwa pamoja...
Hata kama huna picha za wagonjwa wa covid onyesha tu vitanda kama KENYA, (picha na takwimu ni vitu viwili tofauti, nimepika sana takwimu enzi zangu za kujaza MTUHA )

Samahani hapa kwa jirani kuna msiba binti kafa akijaribu kujitolea mimba, kifo chake sio issue saana japo kinaepukika kabisa tena kwa gharama kidogo ila hakilipi
 
Ukitaka ukosane nao, "wakuzirie" kila kitu chako wambie huku kwetu ugonjwa huo hauna athari zaidi ya malaria, ukimwi na kipindupindu vyote kwa ujumla...
Hata kama huna picha za wagonjwa wa covid onyesha tu vitanda kama KENYA, (picha na takwimu ni vitu viwili tofauti, nimepika sana takwimu enzi zangunza utumishi wa umma ili kupewa fungu)
Wasipokuziria, basi watakumwendazakisha.
 
Nani kasema watu wote duniani wanajulikana walipo au watachanjwa...
Hivi unajua hiyo ni hela ndogo sana kwenye biashara kubwa duniani, na dawa ni kasehem kadogo tu,
Ushauliza bei za anticancer au anti diabetics hatari sana mkuu
 
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo
Ndo tushaliwa

Sent from my Moto E (4) using JamiiForums mobile app
 
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo

Vipi chanjo za polio na pepopunda zimecost kiasi gani?

Hii nchi Yule mnyama aliwabrainwash vibaya mno nanyi mmeachwa na fikra za kinyama.
 
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo

Umetoa jina la chanjo ambayo haipo hata kwenye list za chanjo ambazo UN ndiyo zinatumika mapendekezo ya tume ya Corona ni kufuata group ya kimataifa ambayo hii dawa haipo! Kuna dawa ya J&J na Astrazeneca .

Pili badala ya kulalamika na kususia Africa tujenge viwanda vya madawa na kuwekeza kwenye uchunguzi hatujazuiwa na mtu madaktari wetu wasomi wengi wamesoma na hao hao wazungu elimu ile ile tatizo ni utekelezaji.

Hatuwezi kushinda na kulalamikia wazungu kila siku kama vile sisi wote hatuna uwezo .Tuache utamaduni wa kulalamika ndiyo umetufikisha hapa.
 
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo
Mbona watu mna akili za kijima hivi? Hakika mwendazake aliwatoa akili kabisa
 
You mean wazungu ngozi nyeupe wote wamekaa ili watengeneze kitu ambacho na wao kinawauwa ili watengeneze pesa ?

Alafu akitengenza hizo pesa Russia atawagawia na Marekanani au Chanjo zote ni za kampuni moja (na kama kampuni tofauti kwahio walifanya conspiracy ili watengeneze pesa baadae)

Kwangu mimi issue sio pesa bali ni kweli inafanya kazi ? inatibu hii variant ya sasa.., sababu kama ni ya Corona ya mchina na Mu-South Afrika tayari tuna natural chanjo sababu hatujafa kwahio kama inadunda kwa ya muhindi hapo tunakimbizana na vivuli vyetu...

Narudia issue sio pesa sababu hizo reli utakazojenga je utasafirishia maiti au atakayekufa atanufaika vipi na hizo treni (kama inafanya kazi hata kama ni percent moja ya population kuiokoa ni wajibu wa Taifa).... Issue ni Je zinafanya kazi ?
 
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo
Mkuu hujazuiwa na wewe kutengeeza chanjo yako ili ikithibitishwa na WHO na wewe uwauzie hao wazungu....acha kulalamika !!
Au peleka hayo manyungu yapimwe kama yanaponyesha korona basi tuanze kuwauzia dozi wazungu.
 
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo
ARV utaendelea kuitumia au nayo hutaki?
 
Duniani tuko 7B na kampuni za chanjo ni nyingi. Na wanaochanjwa sio wote maskini kwahiyo hizo hesabu ni utopolo
 
Kwanza waulizeni ule utabiri wao kuwa Africa zitatapakaa maiti mitaani za Corona. Utabiri wao utatimia lini.
 
Dollar billion 107.44 ni hela ambazo wazungu wanazitaka kutoka nchi masikini hizi ni hela za burebure kabisa ambazo zitapatikana baada ya kuuza dawa kwa bei ndogo zaidi kuliko zoote

hizi hela zingeweeza kutengeneza mtandao wa Reli ya kisasa ya kuunganisha nchi zote za AFrika

Hakuna haja tena ya kuendelea kuuvumilia ukoloni mamboleo
Afrika ina watu Bilion 7?

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Muafrica anaibiwa na muafrica mwenzie...

CCM wamesabababisha upotevu wa pesa kiasi gani bila hatua yoyote kuchukuliwa?
 
Back
Top Bottom