Hadi zianze kuvuja na video ndo tufute viti maalum bungeni?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,726
2,000
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum ..
Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini
Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni...

Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'..

Wakati wa kuvifuta kabisa hivi viti maalum umeshapita ..
Vilikuja Kwa makosa...
Ilipaswa iwe wanapigiwa kura kila jimbo na wananchi na hata huyo mbunge akija kuleta scandal angalau unaweza walaumu walio mchagua na sio sasa ..Vyama vinapeleka 'vidosho Mali ya vigogo wa wa vyama'..au wale ambao 'wanampa kila mtu' Hadi wanafika huko...

Au tunasubiri video za ngono sasa zianze Ku leak ndo tujue 'tumeshachafua'kiasi gani hilo Bunge?..

Wabunge wa viti maalum hata kama wapo wachache wanafaa lakini kiukweli wengi wao ni wale wale... inatosha..
 
iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,387
2,000
Usawa hauji kwa upendeleo. Unapoweka upendeleo kama viti maalum ina maana tayari umeshaleta ubaguzi wa jinsia. Umeshafanya jinsia ya kike kuwa dhaifu kiasi kwamba inahitaji upendeleo.

Usawa utakuja kutokana na ushindani wa haki. Watu washindane na wananchi wamchague mtu wanaye mtaka...kutoka na meritis zake lakini siyo jinsia.

Viti maalumu vya wanawake kwa vyoyote vile haviwezi kuleta usawa wa jinsia bali vinaongeza utofauti na unyantapaa wa jinsia.

Makundi maalumu kama walemavu wanaweza kushindana bila kuhitaji favour. Hapo ndo unakuwa unaweka mizania ya jinsia
 
Faana

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
17,660
2,000
Usawa hauji kwa upendeleo. Unapoweka upendeleo kama viti maalum ina maana tayari umeshaleta ubaguzi wa jinsia. Umeshafanya jinsia ya kike kuwa dhaifu kiasi kwamba inahitaji upendeleo.
Viti maalumu ni vitoweo vya wanene fulani period
 
aikamatemu

JF-Expert Member
Jan 29, 2020
466
1,000
Mawaziri vivuli wanakazi gani wana maana gani wana faida gani?
Wabunge viti maalumu wana kazi gani wana faida gani Mbona me sielewi?

We nenda wape salamu zao
Waambie sina tatizo nao.By FREENATION
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
14,696
2,000
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum ..
Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini
Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni...

Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'..

Wakati wa kuvifuta kabisa hivi viti maalum umeshapita ..
Vilikuja Kwa makosa...
Ilipaswa iwe wanapigiwa kura kila jimbo na wananchi na hata huyo mbunge akija kuleta scandal angalau unaweza walaumu walio mchagua na sio sasa ..Vyama vinapeleka 'vidosho Mali ya vigogo wa wa vyama'..au wale ambao 'wanampa kila mtu' Hadi wanafika huko...

Au tunasubiri video za ngono sasa zianze Ku leak ndo tujue 'tumeshachafua'kiasi gani hilo Bunge?..

Wabunge wa viti maalum hata kama wapo wachache wanafaa lakini kiukweli wengi wao ni wale wale... inatosha..
Hili mkuu watu wamelipigia kelele siku nyingi sana. Lengo la hivi viti ni kuwainua wanawake lakini vimegeuka viti vya kuwadhalilisha wanawake. Na hii ni kwa kila chama. Dada mzuri anayechipukia hawezi kupata hizo nafasi bila kukubali kupitiwa na midume yenye vyama. Itafutwe namna nyingine ya kuwapata. Wapigiwe kura kwenye majimbo kama wabunge wengine, na tena wawe wakzi wa maeneo husika. Mimi sioni hata umuhimu wao kwani sioni wakiwatetea wanawake wenzao vijijini. Ila chama kama CCM hakitakubali wapigiwe kura kwani kinajua wakiteuliwa wanakuwa ''misukule'' ya chama kuliko wa kuchaguliwa. Na mwisho naomba uwaite ''Wabunge wa VITU maalum''
 
Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
12,167
2,000
Au tunasubiri video za ngono sasa zianze Ku leak ndo tujue 'tumeshachafua'kiasi gani hilo Bunge?..
Kama ni ku leak kwa video za ngono mbona hizo hazijaweza kuwazuia wengine kuingia bungeni? Au mpaka wahusika wawe ni akina mama tu? Je vipi mhusika akiwa mfufuaji au kiongozi wa dini?
Wabunge wa viti maalum hata kama wapo wachache wanafaa lakini kiukweli wengi wao ni wale wale... inatosha..
Kwa nini tunawabagua wabunge wa kuteuliwa au tunatazama wameteuliwa na mamlaka zipi? Na wale wanaoteuliwa na Rais au spika vipi, si ni wale wale? Au ni kwa sababu wengine ni akina mama?
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
7,045
2,000
Kama viti maalumu wangechaguliwa kutokana na makundi maalumu, nisingetarajia vilaza na wadangaji kuingia kwa kukingiwa vifua na vigogo. Hatuhitaji vidosho mle, bali watu wanaoweza kujenga hoja makini kutetea kile wanachoamini na kukiwakilisha...
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,645
2,000
Kwa mtanzania wa kawaida ukisema mbunge wa viti maalum ..
Wazo la haraka linakuja ni 'mdada chepuko wa kigogo wa wa siasa' nchini
Au na siku hizi wadangaji wa huko bungeni...

Ni nadra Sana watu kuwaza 'kiongozi wa kuheshimiwa na kutumainiwa'likitajwa neno 'mbunge wa viti maalum'..

Wakati wa kuvifuta kabisa hivi viti maalum umeshapita ..
Vilikuja Kwa makosa...
Ilipaswa iwe wanapigiwa kura kila jimbo na wananchi na hata huyo mbunge akija kuleta scandal angalau unaweza walaumu walio mchagua na sio sasa ..Vyama vinapeleka 'vidosho Mali ya vigogo wa wa vyama'..au wale ambao 'wanampa kila mtu' Hadi wanafika huko...

Au tunasubiri video za ngono sasa zianze Ku leak ndo tujue 'tumeshachafua'kiasi gani hilo Bunge?..

Wabunge wa viti maalum hata kama wapo wachache wanafaa lakini kiukweli wengi wao ni wale wale... inatosha..
Pia sijawahi ona viti maalumu Wana sura Kama za baba zao.
Amina chifupa RIp ma DC wadada wote huwa ni wakali wakali Ile balaa yaani basi tu.
Ukiwa na dada mzuri mjini wewe ni fursa kwako kutoka.
 
keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
2,645
2,000
Kama viti maalumu wangechaguliwa kutokana na makundi maalumu, nisingetarajia vilaza na wadangaji kuingia kwa kukingiwa vifua na vigogo. Hatuhitaji vidosho mle, bali watu wanaoweza kujenga hoja makini kutetea kile wanachoamini na kukiwakilisha...
Ndo uone kichwa Cha chinj kikishasimama hakuna wa kupinga
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom