Habari Njema: Madaktari Bingwa Kutokea Cuba Kutoa Huduma Hospitali ya Benjamin Mkapa

Uzalendo Wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
1,010
2,000
Wadau wa JF
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Madaktari Bingwa kutokea Nchini Cuba wanatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ajili ya kutoa huduma za Kitabibu

Kwa mujibu wa taarifa za Kiserikali Madaktari hao watakapowasili nchini watatoa huduma za kibingwa kwenye Hospitali ya Benjamin Mkapa iliyopo Jijini Dodoma

Hongera Mama kwa kuimarisha mahusiano ya Kidiplomasia
 

SOSDANNY

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
414
500
Tangazo Lako halijitoshelezi ni hao madaktari bingwa ni katika Myanmar's ipi urology,gynecology, cardiologist, surgery ,neurology au ipi? Fafanua basic kidogo.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom