Anayoyafanya Rais Samia ni kupangua na sio kupanga safu mpya, inasemwa ni maji ya futi kwa nyayo, kuna viongozi waljijibebea umaarufu sio kwa uongozi bora bali kwa uongozi uliojaa magube na usio...
Kwa miaka zaidi ya sita Intelligence ya Polisi ilikuwa ikipokea taarifa za kiusalama zilizoonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kwenye Mikutano ya Chadema na vyama vingine vya siasa na hivyo...
CHADEMA yatangaza kumwaga mishahara kwa watendaji, ni aibu kubwa sana kwa CCM Kwani haiwalipi watendaji wake hata Senti Tano ikiwa ni sehemu ya mshahara.
Hii ni aibu kubwa , mwenyekiti wa CCM...
Bara la Afrika tumepigwa tena na mabepari! Viumbe wenye mbinu na mbwembwe nyingi. Viumbe wasioogopa kupoteza wa kwao wanapokuwa na Jambo lao serious
Walipoitambulisha walianza marumbano wao kwa...
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika ametoa rai kwa taasisi zote zinazofanya kazi katika Manispaa hiyo kuhakikisha zinahudhuria vikao vya baraza la Madiwani ili kuweza...
Sasa sio shwari tena,Tanzania inahitaji Tume huru ya uchaguzi ,CCM wakitaka au wasitake hii sio nchi yao na kama haitoshi watambue hawana hati miliki, Tume huru ya uchaguzi ni lazima kuliko kifo...
Bajeti imesomwa, waliosikiliza wamesikia, waliosimuliwa wamesikia, waliiosoma wameisikia, na WALIOELEWA huenda wameelewa.
Kinachofuata sasa ni mjadala kwa Wawakilishi wa Wananchi "waliochaguliwa"...
Wapendwa kuliibuka wimbi la viongozi wa serikali kujichukulia Sheria mkononi katika awamu iliyopita. Hali hiyo, imeathiri saikolojia ya waathilika na kushindwa kujuwa cha kufanya.
Tuna sheria za...
Mwenyekiti wa CHADEMA na gwiji wa siasa za kistaarabu barani Afrika, mheshimiwa Mbowe ametangaza kustaafu.
Mh Mbowe ameweka wazi kusudio lake pale ifikapo mwaka 2023 atastaafu nafasi ya...
MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, amemsimamisha kazi Mtunza Hazina wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya, Edward Andendekisye na kuagiza Jeshi la Polisi kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi saba...
Habari wanachama wa JF,
Swali langu mimi ni kuwa bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 ni trillioni 34 na pointi kadhaa sasa najiuliza hadi utawala wa Hayati Magufuli R.I.P, makusanyo ya...
Huwa naangalia mambo anayofanya huyu dada kusema kweli nadiriki kusema huyu dada anafaa kuwa Mbunge kuwakilisha vijana wa Tanzania. Michango yake kwa kupitia Flaviana Matata Foundation ni mingi na...
Binafsi naamini hii Inchi haitaisha visasi kwasababu kwa mtu makini ulipaswa kuwaza vitendo vya sabaya ndo kosa lake au maana ni viongozi wengi ambao wamekua wakikiuka misingi ya haki ila wapo tu...
Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu.
Huyu mtu alipaswa...
Kwa kweli tofauti inaonekana lakini I wish Greyson Msigwa na team yake wangejitahidi ku update website ya Ikulu, youtube videos na press releases za matukio.
Pia I wish tungepata taarfa zaidi ya...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo leo Ijumaa tarehe 11 Juni, 2021 amewasili Mkoa wa Tanga kwa ajili ya ziara ya kikazi ya kuimarisha Chama mashinani kwa siku tano kuanzia...
Na Mwandishi Wetu MOHA.
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene amesema Rais Samia Suluhu Hassan, ameruhusu kupandishwa vyeo Maafisa, Wakaguzi na Askari 34,106, wa Vyombo vya...
Vijana wa JPM na wateule wake wasiguswe kwa namna hii ya kuwadharirisha.
Kwa mapungufu yao wawekwe kando au waadhibiwe kwa nidhamu. JK hakuwadharirisha akina Masanje, Mashishanga na wengine...
Toka Tanzania imekuwa na bunge la vyama vya upinzani majabu ya bunge la mwendazake yapo bunge hili.
Bunge halina Kambi Rasmi ya Upinzani.
Bunge halina Mawaziri Vivuli.
Bunge halina Hotuba za...