Unapongeza Wewe, Aibu Naona Mimi!Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Sasa ubebovu wake nini? Mbona kwenye mahakama za kimataifa ambazo ni huru tunapolipa fidia za mabilioni haonyeshi huo ubebovu wake. Hizi za hapa ndani ni za kichawa kama wewe hapoUnafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Mwehu tuu huyo nae!Sasa ubebovu wake nini? Mbona kwenye mahakama za kimataifa ambazo ni huru tunapolipa fidia za mabilioni haonyeshi huo ubebovu wake. Hizi za hapa ndani ni za kichawa kama wewe hapo
'Mahakama hii haiangalii uzito au kuaminika kwa ushahidi' Jaji NdunguruUnafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwa TAL anapaswa kunyongwa?Unafanya kazi nzuri sana Baba ya kizalendo,
na umesimama imara sana kwenye nafasi yako kama wakili mbobevu na mahiri Tanzania. The country is proud of you Mr.Katuga.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
kwa maoni yangu,Sasa ubebovu wake nini? Mbona kwenye mahakama za kimataifa ambazo ni huru tunapolipa fidia za mabilioni haonyeshi huo ubebovu wake. Hizi za hapa ndani ni za kichawa kama wewe hapo
Yaani sijui hii ni 🆔 inasimamiwa na maiti?Unapongeza Wewe, Aibu Naona Mimi!
Itakuwa ipo kwa katugaKuna thread yangu kuhusu Katuga imefutwa humu naitafuta siipati
Alivyoanza mwanzoni mwa hii kesi nilijua tu yupo very seriousKafanya nn mpaka kustahili kusifiwa huko?
Grounds za mahakama ni zipi kwenye kutoa hukumu yoyote?Yes,
inazingatia zaidi msingi wa mashtaka na athari zake kitaifa 🐒