Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,887
- 109,988
Kafanya vizuri sana
Lema ni smart sana kuliko vijana wenye mihemko wanavyomchukulia.Kafanya vizuri sana
Ni ukomavu mkubwa sana ,mambo ya kusemwa yasikutoe kwenye focus.
Kwahiyo unatetea utawala wa kuwajaza hofu watu waishi kama mateka kimya.Wale waluliokuwa wanahoji lengo la Lema na Mkutano wake na waandishi wa habari, watakuwa wameshapata ufafanuzi
Maoni yangu, sio Kila mmoja awe anaruhusiwa kufanya pres na waandishi wa habari waige CCM huko, Pres inatolewa na Mwenezi/Katibu Mkuu n.k
EN amepotea ghafla, lakini hakuna aliyefungua kinywa chake kuhoji popote akiwemo Mdogo wake wa damu 🤪
Nimeongea Lugha ya mafumboKwahiyo unatetea utawala wa kuwajaza hofu watu waishi kama mateka kimya.
Ukiona familia ya Dr Nchimbi ipo kimya maana yake wanajuwa alipo na yupo salama.
Usiamini mwanasiasa, bongo wengi wananunulika..Lema ni smart sana kuliko vijana wenye mihemko wanavyomchukulia.
Hayo aliyoandika hapo hawa vijana wa mihemko watueleze mara ngapi wamekaa jela kwa misimamo yao ya kisiasa?
Inasikitisha kumvunjia heshima mtu kama huyu kwa ajili ya hawa keyboard attackers, wamejificha nje ya nchi wanaogopa jela.
Unata wapigania demokrasia waige huu uhuni?EN amepotea ghafla, lakini hakuna aliyefungua kinywa chake kuhoji popote akiwemo Mdogo wake wa damu 🤪
Mimi niliongea Lugha ya picha, kwamba CDM ina kiwango kikubwa Cha Demokrasia kuliko CCMUnata wapigania demokrasia waige huu uhuni?