Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

UMARIDADI WA MTOTO WA AFRIKA Jicho [emoji872] Jaji_Tz. (African boy) Wakati tunahitimisha "SIKU YA MTOTO WA AFRIKA" nitumie Maneno machache kuzungumza na Watanzania na Serikali yangu pendwa ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tumejenga Taifa la watu wa ajabu sana. Ni siku tatu toka vijana waahidiwe ajira za DC, DAS na DED zilizotangazwa na Mhe. Rais. Baada tu ya tangazo lile vijana wa chama Cha mapinduzi wameibuka...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama tukitambua kuwa kama wananchi tuna majukumu kadhaa ya kuweza kusaidia kuinua uchumi wa serikali yetu na kusaidia katika ukusanyaji wa kodi. je ni wangapi hukumbuka kudai risiti wanaponunua...
0 Reactions
7 Replies
981 Views
Bahati nzuri Ndugu yangu ni mmojawapo wa madiwani wa viti maalum Iramba. Katika udiwani wake huu ni muhula wa pili na anakiri isingekuwa Dr. Mwigulu asingeshinda mwaka jana kwani upinzani ndani ya...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Inasikitisha sana mbunge anapata mshahara wa sh.Mil.11 na kiinua mgongo cha sh.Mil.200 na hakatwi kodi na huo mshahara na kiinua mgongo ni kodi za wananchi leo anasimama mbunge na kudai wananchi...
2 Reactions
2 Replies
672 Views
Mkakati kabambe wa kuchagiza Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi, ukiambatana na mdogo wake aitwaye Chadema Digital ambao uko Kanda ya Kusini, leo umetikisa Mkoa wa Ruvuma kwa kuvunja rekodi ya...
11 Reactions
30 Replies
3K Views
Hivi tangu lini DPP akabeba mamlaka ya mahakama? Tulikaa kimya kwa sababu kesi ya Habinder Seth na Rugemalira ilikuwa bado mahakamani, huwezi kuongea lolote kesi inapokuwa mahakamani, kwa sababu...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Tumejulishwa kuwa amelipa fidia ya bilioni 200 na faini ya bilioni 26. Pia mitambo haijataifishwa. Nataka nione pay slip ya hizo bil 200 maana utawala huu naona kama unawarejeshea pumzi mafisadi...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Viwanda vyote ambayo havifanyi kazi vimesharatibiwa na vitatolewa kwa watu wenye uwezo. Ameeleza, Serikali ilichukua Viwanda vyote ambavyo...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Saa Nne Kamili Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan atawasili mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku tatu. Rais wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan katika Ziara hii anatarajiwa...
14 Reactions
161 Replies
62K Views
"Hali ya barabara vijijini ni mbaya mno, bado tuna vijiji miaka 60 ya uhuru havina barabara kabisa na kwingine unakuta hakuna Zahanati wala vituo vya afya so tunaamini tutakoa maisha ya wananchi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mabenki ya yetu hayako katika kusisimua uchumi kwa kukopesha mitaji Bali yapo katika kupata faida kubwa ndiyo maana wakopeshwaji wengi mikopo ni ndoano ya kufilisika au kusaidia mabenki kuwa na...
0 Reactions
1 Replies
969 Views
Habari! Sasa ni awamu ya 6 kwa mujibu wa Rais mwenyewe na serikali yake. Rais Samia Suluhu nitakuunga mkono kama utaondoa dhuluma hii kwa vijana. Kumnyima kijana asichukue fedha yake kwenye...
13 Reactions
26 Replies
2K Views
Mbowe alisema wazo la “Chadema Msingi” ambayo ilikuwa na lengo la kuwasajili wanachama wapya kuanzia ngazi ya chini, alilipata akiwa gereza la Segerea baada ya kusoma kitabu cha mwanazuoni kutoka...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kwa kuzingatia uongozi wa sheria Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) Sylvester Mwakitalu amefikia muafaka na mfanyabiashara Harbinder Seth kupitia Sheria ya Pre- Bagain na kumuwezesha Sethi kuachiwa huru...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Salaam wanabodi, Moja kwa moja kwenye hoja. Tatizo tulilonalo ni ajira hii ni fact, watafiti wanasema kufikia 2050 Africa itahitaji ajira mpya zaidi ya milioni 500 (source frani hivi) Hakuna...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Binafsi hiki chama ninakichukia kutoka uvunguni mwa moywan I'm 23yrs ila Ccm nimetokea kuichukia tangu nasoma primary Uganda hadi secondary Lake view mpaka namaliza chuo University of dsm 2018...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Wazanzibari hawakutaka mashehe waachiwe kama ilivyotokea. Wameachiwa na watu wasiojulikana kwani hata mawakili hawakutaarifiwa walisikia tu mashehe wa au wateja wenu wameonekana mitaani...
7 Reactions
71 Replies
5K Views
Tumeshuhudia hii miezi miwili kukiwa na kauli kadha wa kadha zenye kukinzana na matendo mbalimbali yaliyofanywa na awamu ya 5 chini ya Shujaa toka kwa wateule wake wa kipindi hicho. Moja ya...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Abstract* The development objective of Dar Es Salaam Urban Transport Improvement Project for Tanzania is to improve transport mobility, accessibility, safety, and quality of transport service...
7 Reactions
53 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…