Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwema Wakuu! Nilikuwa napitia majina ya Ndugu zetu waliopewa nafasi za Ukuu WA wilaya. Kwa kweli mkeka upo vizuri Kwa sehemu kubwa Nawapongeza wote Mliopewa Nafasi hizo. Pia nampongeza Mhe...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Mtu kama huyu msomi mzuri tu kwa nini watu wanafikiri hawezi kuwa mkuu wa wilaya? Au kwa vile aliamua kujiajili kwenye tasnia ya sanaa. Naona kuna kasumba inaanza kujengeka hapa nchini ya kufikiri...
1 Reactions
1 Replies
972 Views
Ili kupunguza malalamiko mitandaoni yanayopelekea viongozi wa kisiasa kutumbua Watumishi wa umma nakushauri uwaelekeze wakurugenzi, wakuu wa taasisi na Makatibu wakuu waweke wazi njia za...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ukiacha kulipwa Mshahara mzuri na marupurupu mengine, likiwemo V 8 labda na Mamlaka ya kiofisi , ukweli ni kwamba wengi wanaoteuliwa kwenye cheo hiki kwa sasa hawaakisi ukubwa wa cheo chenyewe...
32 Reactions
141 Replies
13K Views
Hizi teuzi huwa zina michanyato ya kutisha kabisa. Kuna Ma RAS ni Ma Professor kama yule Kamzora wa kule Kagera na kuna RAS nazani wana Degree na wengine Diploma kabisa. Kuna wakuu wa mikoa ni...
6 Reactions
75 Replies
6K Views
Brother Mako Najua wewe ni mtu wa masihara na utani utani mwiiingi. Utani hoye! Najua wewe ndivyo ulivyo toka long time kitambo. Ila nataka nikueleze kitu, Kuwa makini sana na utani wako...
33 Reactions
91 Replies
12K Views
Inavyoonekana siasa ni mchezo mgumu sana kuusoma na kuucheza, vitu vingi kwenye siasa vinategemea probability. Kipindi cha hayati wapinzani walitumia ukandamizaji uliokuwepo kuomba sympathe ya...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Nakupongeza nikiwa kama mkazi wa Morogoro mjini na nikiwa kama mdau wa mitandaoni na mpenda habari nimekujulia huko kwenye kazu yako ya uwakili. Naomba ukifika pitia ilani ya chama na angalia...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Mwinyi anasema alijutia namna alivyoliachia bunge hadi likafikia hatua ya kupiga kura na kuwaunga mkono kundi la wabunge waliojulikana kama G55 waliodai Serikali ya Tanganyika. Lakini...
10 Reactions
72 Replies
8K Views
Mama kawaumiza sana Vijana wa CCM, hili wala halina ubishi wala haliwezi kuwa mada ila cha kusikitisha ni mambo wanayoyafanya hao MATAGA ni ujinga mtupu. Moja, wameamua kujitoa kwenye makundi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Kutoka WhatsApp Group nimepata hili. ===== Kadri ya Rais Lovodymyry Zelensky wa Ukraine na Uteuzi wa Comedian Michopanga (Juma Chikako kuwa DC Rorya Wakati vijana wengi wakikosoa bila hoja, kwa...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
1. Je, Heshima ya Cheo cha Ukuu wa Wilaya imepanda au imeshuka? 2. Je, mwenye Umri wa Miaka kuanzia 45 au 50 anastahili kuitwa Kijana? 3. Je, Kuteua Makundi Maalum Kiuweledi ( Professionally )...
35 Reactions
96 Replies
11K Views
Hawa ni Wasomi kutoka Stanford University na mungine Harvard University Prof Lipumba, Huyu ameishi Stanford University na Kufundisha hapo, Gharama za kusoma chuo hicho ni zaidi ya dollar za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nawapongeza wote mliopata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa wilaya. Hongereni sana. Kazi mliyopewa ni kubwa sana na enzi za kale (Kabla ya Kirsto) nafasi hizi walipewa vijana wenye akili na...
1 Reactions
2 Replies
562 Views
Ni takribani mwezi Sasa malipo ya serikali hayafanyiki kwenye taasisi mbalimbali baada ya kile kinachodaiwa mfumo wa hazina unaotoa control number kushindwa kufanya hivyo. Kutokana na changamoto...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao! Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Naona wote aliowarubuni Mwendazake kuihama Chadema waamekuwa rewarded. Hii ni kuwa encouragement ya wengine wavihame vyama vya upinzani in anticipation ya kupata vyeo. Tutegemee wimbi jipya la...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanabodi Salaam, Naandika haya nikitambua kuwa kwa Mamlaka ya Rais. Rais hatalazimika kufuata ushuri wetu pindi atakapo kuwa akitimiza majukumu yake kwa mujibu wa katiba. Hata hivyo ni muhimu...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Na Thadei Ole Mushi. 1. Kuwa Mwigizaji au Msanii Hakukunyimi kuwa na sifa za kuwa Kiongozi. Tena Mwigizaji anaweza kuwa Kiongozi mzuri. Kinachoangalia ni uwezo wake katika kufanya vitu. Nilisema...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
KWA UTEUZI HUU UNAOENDELEA KUFANYWA NA RAIS WA JMT MAMA SAMIA, TANZANIA ITAKAA SAWA. Kwanza nimpongeze Mh Rais kwa uteuzi alioufanya ilikuendelea kusuka kikosi kazi chake chenye lengo la kuleta...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…