Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

One of the biggest problem decelerating development of oil and gas sector in Tanzania is negotiation with investors who have willing to make an investiment. In reality negotiation processes are...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Jumla ya wakuu wa wilaya walioteuliwa na RAIS Samia ni 139: 11 ni Ph.D sawa na 8% 26 ni Masters sawa 19% 95 ni Bachelor Degrees sawa na 68% 3 ni Diploma sawa na 2% 4 ni ACSEE na CSEE sawa na...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nimemsikia Waziri akitangaza kuhusu KODI ya Jengo kuwa Kila NYUMBA yenye UMEME Kodi hiyo italipwa Kwa kukataa kwenye LUKU. Naomba kujua Machache. 1. Kodi ya Jengo ni Kiasi gani? 2. Je...
1 Reactions
2 Replies
847 Views
Magufuli aliliona hili mapema ======== Dar records 8-year high coffee exports thanks to COVID-19 Tanzania has recorded an eight-year high coffee export this season thanks to lockdown which...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la Lowassa Hivi karibuni naona vijana wa CHADEMA wanamwagia sifa sana mzee baba Mbowe, naombeni mtuambie ni nini haswa kinachomfanya Mbowe apokee sifa zote hizo wakati kila...
2 Reactions
71 Replies
4K Views
Kila zama na wakati wake. Tukianza awamu ya Nne teuzi zake zilitegemea sana watu walio ndani ya chama na watu walio kuwa nje ya nchi (Wenye exposure zao). Awamu ya Tano: Watu wenye PhD zao na...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Vuguvugu Katiba Mpya latikisa mtandao wa Twitter TUESDAY JUNE 22 2021 Summary Watu wa kada mbalimbali nchini Tanzania ni kama wameanzisha vuguvugu la kudai Katiba Mpya kwenye mtandao wa kijamii...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Kenan Kihongosi leo amepokea fidia ya sh 5.4 milioni kutoka kwa wafanyabiashara wa chuma chakavu kama fidia ya vitu walivyouziwa na wanafunzi kinyume cha sheria...
4 Reactions
120 Replies
13K Views
Spika Job Ndugai amesema kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo likikataa kupitisha Bajeti ya Serikali. Nimejiuliza...
2 Reactions
1 Replies
854 Views
Je Ni Halali Kisheria Mtoto Kumpeleka Babake Mzazi Mahakamani Ili Apatiwe Urithi Wa Babake? === Mtoto amfikisha Mahakamani Baba yake akidai urithi Katika tukio ambalo sio la kawaida kwa mila na...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
94% ya Wabunge wa Bunge la Tanzania wamepiga kur a ya ndio bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha 2021/22. Bungeni kulikuwa na wabunge 385 ambao kati yao 23 hawakuamua kupiga kura na 5 hawakuwepo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Waziri wa Fedha na Mipango amesema mfumo wa ulipaji wa kodi ya majengo kwa kutumia mita za LUKU haitawahusu wapangaji bali ni wamiliki wa nyumba husika. Ametoa mfano wa ilivyokuwa kwamba mpangaji...
4 Reactions
91 Replies
10K Views
Hizi wizara mawaziri mnazibumunda sana na kuzichechemesha. Kama umekaa na jopo lako la kitaalamu la kikodi na ukaja na uteuzi wa samatta, kumwembe sijui na mobeto kuwa waelimishaji rika wa kodi...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Binafsi sio mpenzi wa chama chochote cha siasa japo nafuatilia siasa kwa sababu siasa ina affect sekta zingine zote za kimaisha hivyo upatikanaji au uwepo wa viongozi bora ni kitu muhimu sana kwa...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Wanabodi kiongozi ni kioo cha anaewaongoza. Kazi kubwa ya kioo ni kuangalia mwonekano wako au wa kitu ambacho macho hauwezi ona moja kwa moja. Vivyo hivyo kwa kuwa kiongozi, jamii inayoongozwa...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Wana Jukwaa Bingwa, Miradi ifuatayo imetupwa kapuni au giza limetanda wananchi hawaoni? 1. Barabara ya mzunguko (Ring road) Km 100-Dodoma 2. Uwanja wa Michezo wa Kimataifa (Dodoma International...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Inaripotiwa kuwa jijini Arusha kada maarufu wa Chadema John Mushi almaarufu "kadogoo" usiku wa kuamkia jumatatu tarehe 21 June, 2021 nusura ajiue kwa sumu baada ya waliokuwa wabunge...
19 Reactions
86 Replies
7K Views
Nimejulishwa kuwa kuanzia sasa ( Awamu ya Mama japo ya Hayati ilijaribu ila ikatoweka ghafla ) ni kwamba ni Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mawaziri, Mabalozi, Wakuu wa Idara Nyeti na Wakuu wa Mikoa...
26 Reactions
174 Replies
15K Views
Tumeona karibuni Mama Samia kamtumbua DC na DED huko Morogoro. Suala ni namna ya kuwaondoa Machinga barabarani. Kwanza, kuwaondoa Machinga na kuwaweka sehemu "iliyotengwa", kwa kweli ni...
29 Reactions
101 Replies
8K Views
Igweeeee baada ya mama kukutana na wajumbe ya kamati kuu na kulalamikiwa sana kwamba ametusahau UVCCM Sasa mama ameamua na kuahidi kwamba tuwe wapole nafsi hizi zinatoka kwaajili ya makada na...
0 Reactions
2 Replies
549 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…