Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa zamani wa Mauritania, Mohamed Ould Abdel Aziz, amehukumiwa kifungo cha jela na jaji anayehusika na uchunguzi wa rushwa. Rais huyo alikuwa chini ya kifungo cha nyumbani katika siku za...
1 Reactions
1 Replies
846 Views
Kuna watu kwenye mitandao ya kijamii hususani twitter wanaojifanya wana democrasia yaani wao wanataka kila mtu wamtukane na kumsema kwa mabaya na kujifanya wajuaji ila ukiwazidi hoja wanakublock...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Kiongozi wa nchi anakuwa na wapambe wa kila namna. Hawa wanakuwa na jukumu la kumjuza mkuu wa nchi juu ya masuala muhimu ya taifa analoongoza . Hata akina Nkwame Nkurumah walipotoshwa na baadae...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Historia ya nchi ina mapito mengi sana mapito mazuri na mapito mabaya, lakini ilikuaje kama nchi tukapata viongozi aina ya watu waliotajwa hapo juu, Najaribu kuwaza nashindwa kupata jibu...
31 Reactions
146 Replies
11K Views
"Ukiifuatilia kwa karibu sana katiba yetu, moja ya haki ya raia yoyote wa nchi hii ni kuwa na uhuru wa maoni au mtizamo, kwa hiyo ukikuta kwenye kundi kubwa wachache wanamtizamo kwamba hawana...
1 Reactions
1 Replies
998 Views
Ile kampeni ya kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi iliyotikisa Nchini Tanzania ya OPERESHENI HAKI , itaendelea tena baada ya kusimama kwa muda kwenye Kanda ya Pwani...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mkutano maalumu wa wakuu wa nchi za SADC wametoa salamu za rambi rambi na kutambua mchango mkubwa wa Magufuli kwenya bara la Afrika. Soma sehemu ya taarifa ya pamoja ya kikao hicho inayohusika...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu,tegeni sikio stat Tv muwasikilize waheshimiwa hawa wakiweka hadharani maslahi ya wabunge. Machali anasema mshahara wake ni sh 3,560,000 kabla ya makato.Anakatwa kodi zaidi ya sh 900,000...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ikumbuke kwamba Waziri wa Nishati Dkt. Kalemani alishatangaza kuwa unit 1 kuuzwa kwa sh 100 sasa inashangaza sana kuona hadi sasa bado kuona umeme katika manispaa ya Shinyanga bado ni gharama...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Katika hali ya kuendelea kushangaza mgombea wa Urais Tanzania kwa tiketi ya chama cha mapinduzi John Magufuli amewaambia wana KARATU kuwa alijenga barabara kilometa 1.5 tu za lami kwa kuwa mwaka...
8 Reactions
89 Replies
9K Views
Majiji na Miji mingi kwa kipindi cha miaka kadhaa iliyopita imekuwa ikijenga masoko mazuri ya ghorofa kama masuper market yenye thamani kubwa. Machinga/Mjasiria Mali ana tabia za maisha ya bata...
0 Reactions
0 Replies
862 Views
Uzalendo ni hali ya mtu kuwa na uchungu hasa juu ya nchi naJamii kwa ujumla. Shana hii ni Pana na pengine ilipaswa kufundishwa kwenye shule zetu kwa ngazi zote. Msingi wa hoja yangu ni dhidi ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tumesikia kuwa zaidi ya bilioni 300 zimefyatuliwa na zitaingizwa kwenye mzunguko kwa kuwapandisha vyeo watumishi takribani elfu 70. Hoja yangu hawa waswahili siwaamini kabisa kulingana na...
3 Reactions
37 Replies
3K Views
Waziri wa Afya niombe uimulike hii hospital iliyopo mkoa wa pwani! Gharama za huduma ni kubwa mnoo! Mfano ukaenda pale kutibiwa gharama ya kujiandikisha ili umwone daktari ni Tsh 5000/= halafu...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Nilipoandika kuhusu kufungwa kiwanda cha tumbaku Morogoro mjini na karibia ajira 1000 kupotea wale wenye vyama vyao kama kawaida yao wakaleta siasa. Watu hao 1000 wapo mtaani. Pembeni yake...
32 Reactions
75 Replies
5K Views
TRA ni taasisi inayokusanya kodi nchi nzima ikiwemo Zanzibar, na Zanzibar nayo ina taasisi yake ya kukusanya kodi kwa Zanzibar ambayo ni ZRB. Pesa zinazokusanywa na TRA kutoka Zanzibar hupakiwa...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Katika product mbovu kutoka nchi ya Kenya ipo sokoni kwenye mzunguko kwa kiasi kikunwa basi ni Viberiti vyao vile vinaitwa Kasuku, aisee ni Product yenye quality mbovu sana! Unaweza tumia njiti...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Hii ndio Taarifa iliyotolewa na Waziri wa Afya wa serikali ya Mapinduzi , Mh Nassoro Mazrui , lengo ni kudhibiti maambukizi ya wimbi la tatu Bado haijafahamika kama wageni kutoka Tanganyika nao...
4 Reactions
43 Replies
6K Views
Spika wa Bunge, Job Ndugai amewaambia Wabunge kuwa kwa mujibu wa Ibara ya 90(2)(b) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Tanzania ana uwezo wa kuvunja Bunge endapo litakuwa...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. George Simbachawene, amesema kuwa wizara hiyo kwa kushirikiana na Wizara ya Ardhi watajadiliana na kuangalia namna nzuri ya kuweza kuwapatia viwanja askari...
6 Reactions
83 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…