Mbowe na Lissu wahudhuria Mkutano wa vyama vya Kidemokrasia ukanda wa Afrika Mashariki Jijini Nairobi

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Pichani ni Mhe. Tundu Lissu akisalimiana na Mhe. Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo

Twaha__Mwaipaya_(@twahamwaipaya)_posted_on_Instagram:_“Mhe._Tundu_Lissu_akisalimiana_na_Mhe._M...jpg


Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.

Official_BAVICHA_Taifa_on_Instagram:_“Mwenyekiti_wa_Chama_Taifa_Mhe._@freemanmbowetz__akizungu...jpg
 
... bro hebu lete full speech ya Mwamba akitema yai lililojaa madini acha kuleta vitu nusunusu Chief! Jamaa namwaminia sana linapokuja suala la public address ni level nyingine.
Endelea kubaki hapa hapa JF
 
Pichani ni Mh Tundu Lissu akisalimiana na Mh Musalia Mudavadi wa Chama cha Amani National Movement cha nchini Kenya , walipokutana kwenye Mkutano huo

View attachment 1828700

Picha ya Chini ni Mwamba Mwenyewe Mh Freeman Mbowe akitoa mada kwenye Mkutano huo Muhimu wenye lengo la kukuza Demokrasia kwenye nchi za ukanda huu.

View attachment 1828704
Mmebaki mitandaoni tu. Huku mtaani kuna CCM.
 
Back
Top Bottom