Wana CCM tushikamane kipindi hiki KIGUMU, yatapita tu!

Michewen

JF-Expert Member
Jun 27, 2012
24,565
32,210
Nawaomba kwa dhati wanachama wa CCM tushikamane kwa nguvu zote kipindi hiki kuelekea uchaguzi yatasemwa mengi sana kuhusu chama chetu na viongozi wetu tusiwape nafasi wabaya wetu wanaopanga kutuangamiza kwa maneno ya UONGO. Wale MAFISADI waacheni waende kwenye vyama dhaifu (vyama vya UKABILA na UDINI). CCM ndo chama dola na itaendelea kushika dola milele na milele
 
........Kama hutaki kale malimao mkuu!!
 
Attachments

  • 1438534649997.jpg
    1438534649997.jpg
    85.5 KB · Views: 962
Nawaomba kwa dhati wanachama wa CCM tushikamane kwa nguvu zote kipindi hiki kuelekea uchaguzi yatasemwa mengi sana kuhusu chama chetu na viongozi wetu tusiwape nafasi wabaya wetu wanaopanga kutuangamiza kwa maneno ya UONGO. Wale MAFISADI waacheni waende kwenye vyama dhaifu (vyama vya UKABILA na UDINI). CCM ndo chama dola na itaendelea kushika dola milele na milele

Ninapoona watanzania walio wengi wanateseka na mfumo kandamizi, halafu anajitokeza mtu anasema maneno kama haya.....Daah ngoja niishie hapo.
 
Nawaomba kwa dhati wanachama wa CCM tushikamane kwa nguvu zote kipindi hiki kuelekea uchaguzi yatasemwa mengi sana kuhusu chama chetu na viongozi wetu tusiwape nafasi wabaya wetu wanaopanga kutuangamiza kwa maneno ya UONGO. Wale MAFISADI waacheni waende kwenye vyama dhaifu (vyama vya UKABILA na UDINI). CCM ndo chama dola na itaendelea kushika dola milele na milele
bila shaka kabisa na hawana lolote usione wazee wetu wa ccm wametulia ukadhaniwanaogopa ila wanasuka mipango ccm oyeeee
 
Mmezidi sana. Kumbe hii ilikuwa ndo maana ya goli la mkono! Kugushi kura kila mahali. Nakumbuka Kikwete alionya kuwa kama CCM itaendelea kuendekeza rushwa wakati wa uchaguzi unaweza ukawa ndo mwisho wake. Na sasa mwisho wa CCM umefika. Rushwa kila mahali. Badala ya kushikamana na rushwa mimi nasema kuwa tuwakatae wote walioshinda kwa rushwa hata kama itabidi chama kianguke. Afadhali kianguke kuliko rushwa!!
 
Jamni napatwa na kigugumizi sana juu ya chama hiki kikongwe kinapo tamani kuendelea kufifisha matumaini ya wananchi hata ya kupata mlo mmoja kwa siku jamani tuache utani watanzania wanateseka sana sana sasa chama hiki hadi apa kilipo fikia tunashukuru sana lakini kwa mwaka huu hapana wapishe wapumzike,kwakuwa the same problem can not be solved from the same level of thinking,wapunzike hata waje na hoja gani they cant
 
Nawaomba kwa dhati wanachama wa CCM tushikamane kwa nguvu zote kipindi hiki kuelekea uchaguzi yatasemwa mengi sana kuhusu chama chetu na viongozi wetu tusiwape nafasi wabaya wetu wanaopanga kutuangamiza kwa maneno ya UONGO. Wale MAFISADI waacheni waende kwenye vyama dhaifu (vyama vya UKABILA na UDINI). CCM ndo chama dola na itaendelea kushika dola milele na milele

Mshikamane? Mbona nape alitangaza kuwa CCM imeshinda tena Dodoma na wanachama wote ni wamoja sasa unatoa wito wa kushikamana kwani mmetengana? Lini mmetengana? Ushauri wa bure kwako, acha kujipa presha wakati wakuu wameamua kukubali yaishe ndio maana walibaka mchakato kwani walishajua nguvu ya UKAWA hivyo ile ni kutafuta kisingizio ili ijulikane mmeua wote chama
 
Tumechoka na ccm na mwaka huu ccm itakuwa upinzan kama vyama vingine na nadhan mmeona kwa mara ya kwanza kuona ccm wanapigwa mabomu na bado ile ilikuwa inawatengenezea mazingira ya kujiandaaa kisaikolojia hy ilikuwa dodoma na mtafurah
 
Nawaomba kwa dhati wanachama wa CCM tushikamane kwa nguvu zote kipindi hiki kuelekea uchaguzi yatasemwa mengi sana kuhusu chama chetu na viongozi wetu tusiwape nafasi wabaya wetu wanaopanga kutuangamiza kwa maneno ya UONGO. Wale MAFISADI waacheni waende kwenye vyama dhaifu (vyama vya UKABILA na UDINI). CCM ndo chama dola na itaendelea kushika dola milele na milele

Mbona kipindi kigumu bado..subiri kiiidogo utalia kama mbuzi...meeeeee..:sly:
 
ccm wapuuzi na mifumo yao ya kipuuzi .na mwaka huu ndo mwisho wa kuteua waziri asiye na wizara maalumu ila ana posho na mshahara maalumu.wapuuuzi hawa.
 
Back
Top Bottom