Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uamsho yaipa serikali masaa 26, vinginevyo...!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meningitis, Oct 19, 2012.

 1. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 8,019
  Likes Received: 911
  Trophy Points: 280
  TAMKO ATOA AMIR AZZAM -MBUYUNI.

  Viongozi wa jumuiya Uamsho.sh Amir Azzan ameipa serikali muda wa masaa 26 mpka kesho sa 10 laasir.Amir Farid awe kishaachiwa.
  Ila amewataka wananchi wawe na subra na watunze Amani hadi hapo kesho laasir.
  Sh Azzan anasema ccm,Jeshi la polisi na Jeshi la wananchi Tanzania wamehusika kwa habari waliozipata.
  Inasemekana walomteka walikuwemo ma jeshi 2 na polisi wa ffu 2 na viongozi wa ccm.
  Tunaiman Amir Farid bado yuhai na yupo hapa hapa Zanzibar.
  Safari hii mpaka kieleweke.
  Waislamu hakuna kurudi nyuma biidhni llah tutampata Amir Farid


  source ;fb page ya jumuiya ya uamsho(T)


  updates;shekh farid apatikana takriban masaa 10 baada ya tamko hili.

  farid3.jpg
   

  Attached Files:

 2. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  "Serikali inashindwa kudhibiti kikundi hiki cha Wahuni?" Askofu Augustino Shao wa R.C Zanzibar kupitia BBC
   
 3. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mbwa anapogeuka mwehu na hata kuanza kumngata mfugaji wake ...
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kikundi cha kihuni lakini wameshatimiza malengo hapo nani mjanja
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kwanini wasimkamate huyu anayeifundisha kazi jinsi ya kufanya kazi. Ningekuwa rais ningekamata kila anayetoa tamko hadi wote waishie lupango ndipo nilete suluhu.
   
 6. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,247
  Likes Received: 10,405
  Trophy Points: 280
  hapo kwenye bold ,naweza kukubali kwani kumekuwepo na tuhuma kadhaa za utekaji zilizohusisha ccm.
   
 7. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Hivi kweli hii serikali imeshindwa kuwadhibiti hawa watu ?

  Kwanini huyu anayetoa hili tamko kwamba baada ya masaa 26 wataleta vurugu hajawekwa hatiani ?
  Huku kulea ugonjwa kifo kitakuja kutuumbua
   
 8. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 11,051
  Likes Received: 4,608
  Trophy Points: 280
  Hivi RISASI ZIMEISHA Zanzibar....!!???
   
 9. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  ukosefu wa ajira ni bomu linalolipuka sasa
   
 10. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Why 26? Why not 24?
   
 11. Janja PORI

  Janja PORI JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 31, 2011
  Messages: 808
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  sureeeee na bado
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 326
  Trophy Points: 180
  Kamata huyo mtoa tamko...peleka Mabwepande!
   
 13. k

  kajima JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Dec 5, 2009
  Messages: 864
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 45
  Sasa huyu Askofu mbona anamwaga Petrol kwenye moto uliowaka...hekima ilikuwa ni kuchagua maneno haswa kipindi hiki kigumu
   
 14. J

  JERUSALEMU JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 19, 2012
  Messages: 2,739
  Likes Received: 1,794
  Trophy Points: 280
  wanajua mwisho wa yote watashindwa hivi vita ndio maana wanapiga kelele.wawaleje jela za bara ndio watafunzwa adabu vizuri.
   
 15. Bouncer

  Bouncer JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Natamani JK asafiri tena! akirudi uamusho itakuwa historia..
   
 16. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  may be it is a code!
   
 17. Mr Dhaifu

  Mr Dhaifu JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 775
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Kwahiyo wakristo ajira wanazo?mkuu
   
 18. m

  malaka JF-Expert Member

  #18
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,323
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nadhan sasa ndio.mtaamini kuwa hakuna atakayewasaidia na kiwapangia mwelekeo wenu zaidi ya adui yenu. Zimwi likujualo halikuli likakwisha.

  yetu macho.
   
 19. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #19
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,731
  Likes Received: 1,441
  Trophy Points: 280
  Sielewi na sijui nitafanyeje ili nielewe. Jeshi la Polisi na CCM ambao wamekuwa too readily kuuwa wananchi kwenyemikutano ya CHADEMA kote nchini wameshindwa kabisa kushughulika na wahalifu wachache. Sielewi mimi.
   
 20. Bouncer

  Bouncer JF-Expert Member

  #20
  Oct 19, 2012
  Joined: Sep 30, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 35
  Call a spade a spade... hakuna kuremba atii!
   
Loading...