Ni wazi watetea legacy ya mwendazake wamezidiwa vibaya sana.Ilikuwa ni kazi rahisi kupambana na CHADEMA,Team JK,Team kanda ya kambo sasa ni wazi watu wa makundi mbali mbali wameonyesha walichoshwa...
Hapa kijijini bado tunasubiri ile ahadi ya Milioni 50, sasa wale wa Mjini Kawe sijui weshanufaika?
Hakuna Chama kilichojaa viongozi waongo kama CCM wao ni ahadi kwa kwenda mbele,wameshaona...
Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya
1. Haki
2. Ukweli na usuluhishi
3. Mabadiliko...
1. (S) SUMMARY. As suspected, the Kikwete administration is facing civilian-military tensions: Tanzania's Chief of Defence Forces (CDF) is hindering the President and Minister of Defence's...
Ni wazi sasa hivi kwamba Katiba imekuwa ikifanyiwa maraekebisho ya mara kwa mara, kwa convenience ya watu na siyo manufaa ya moja kwa moja ya nchi.
Serikali ilipitisha miswaada na kupitisha...
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza Dr. Anthony Diallo amesema ni makosa makubwa na hatari sana kuwaachia wanasiasa watengeneze katiba ya nchi.
Diallo amesema wanasiasa ni wabinafsi hivyo lazima...
Baraza Kuu la Chadema litaketi muda wowote baada ya viongozi wakuu wa chama hicho kumaliza ziara ya vikao vya ndani waliyoifanya zaidi ya mikoa 20 ya Tanzania Bara na Zanzibar.
Pamoja na majukumu...
Nakumbusha tu kwa wakati tuliopo, Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi ndiye aliyeteua wafuatao:
1. Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi
2. Mkurugenzi wa uchaguzi
3. IGP
4. Jaji mkuu
5. Mkuu wa Majeshi...
Karibuni wenzangu tulongeya moyoni.
Nyerere na wenzake walipigania UHURU WA BENDERA, tukaupata. Akasema bado uhuru KAMILI.
Je, Tumeshaupata?
Kama uhuru kamili bado, ni kwa nini?
TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO.
Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake.
Siku Rais Samia alipochukua ofisi...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo kila mtu avae barakoa kwenye mikusanyiko, hivyo watu wachukue...
Habar wtz nimekaa kwa muda nikisubir nione wale watu wanao jiita watetezi wa wananch siku zote wakisema hata neno Moja kwa Hali inayo endelea sasaiv ila mpaka Sasa wapo kimia
Nashangaa wote walio...
Penda tusipende, Katiba mpya ni Takwa la Wananchi wa Tanzania. Bunge ni mtoto wa Katiba, Mahakama ni mtoto wa Katiba, Serikali ni mtoto wa Katiba. Kwa kawaida mama anamzaa mtoto, mtoto hamzai...
Wakuu, hii imekua ni mazoea kwa watu wengi. Mtu ukimgusia tu siasa na kuongelea matatizo yanayoikabili jamii, anaanza kuleta masihara.
Kwa Wamarekani Weusi nimejaribu kuchunguza wako serious sana...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amelala nyumbani kwa Balozi Ndugu Iddi Mwaibaje mwenyekiti wa shina namba 1 Kata ya Chapwa Jimbo la Tunduma...
Habari ya muda huu wazalendo wote wa nchi yetu pendwa Tanzania....
kwa mujibu wa gazeti la Tanzania daima la leo, imeripotiwa kuwa CDM imepanga na inajiandaa kumfanyia sherehe kada wao mpya na...
Ndugu zangu Watanzania mimi ni kati ya watu waliomchukia sana Magufuli kwa sababu ya aina ya uongozi ila nimetafakari sana tumsamehe tumuombee.
Sababu zangu
Viongozi wengi hukosea awamu ya...
Kama muda huu unatizama 'Mubashara' Star Tv Mahojiano ya Mmiliki wa Sahara Media na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Tajiri Antony Dialo huhitaji Elimu Kubwa kujua ya kwamba 'ameteseka' sana na...
Igwe wanaJF
Nimepitia maktaba yangu ya mambo ya siasa nimegundua pasi na shaka siku Tundu Lissu mwaka 2014 akikutana na Tundu Lissu wa mwaka 2018 'watauana' .
Tundu (2014) hakuwa kwenye gubu...