Huu ndiyo mtaji mpya wa CHADEMA kuelekea kuchukua dola

Ritz

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
46,903
32,312
Wanabodi,

Lazima tuwe watu wapya, watu wapya wenye maono mapya, watu wapya wenye mtazamo mpya, watu wapya walio na hamu mpya ya usawa, haki na ujumuishaji, watu wapya wanaobeba Mwenge wa Tanzania mpya, ambayo haki na uhuru kwa wananchi unaheshimiwa na kulindwa tusikubali kuogozwa na wahuni.

Huyu jamaa Chadema wamemtoa wapi sijui sasa hivi ndiyo mtaji wao wa kisiasa kuelekea kuchukuwa dola na kupata katiba mpya, wakati yupo jela nilidhani mtu mmoja makini sana mwenye ushawishi kwa jamii kumbe hali yale ndiyo hiyo.

Cha kushangaza anaongea pumba wafuasi wa Chadema wanamshangilia masikini daaah huyu jamaa Chadema wanamtegemea kuwa mrithi wa Mbowe.
 
Ninaumizwa sana na harakati zenye malengo ya kugawa umma wa watanzania kwa itikadi za vyama, tukosoane na kujadiliana kwa Hoja huku tukiheshimiana. Kukubaliana na kutokubaliana huku mnaheshimiana ndio msingi wa Haki na demokrasia.

Tujenge jamii yenye utu na kuheshimiana sasa Rais Samia, amemkosea nini.
 
Huyo jamaa ni dhahiri hayuko vizuri! Akili zake kwa sasa ni za kiharakati zaidi sawa na za wanaccm wengi akina Sabaya, Heri, Jingalao, johnthebaptist, nchemba, Hepi, na wengine!

Kama tunawaelewa na kuwavumilia hao maccm nilowataja basi na yeye Mdude aachwe tu ajinafasi!
Kama hatutaki basi tuje na Katiba Mpya!
 
Hata hujielewi, unasema; "tuwe watu wapya ambao haki na uhuru wa watanzania unaheshimiwa na kulindwa", sasa huyo mwenye hilo jukumu analinda hizo haki za raia au unajiandikia tu usichokijua?

Anapozuia mikutano ya siasa kinyume cha sheria, na kuzuia mchakato wa Katiba Mpya kinyume cha sheria, ndio analinda haki za watanzania? au haki zenu marafiki zake wa lumumba?

Nakuona unazungumzia kupingana kwa hoja lakini hata sizioni hizo hoja zako, halafu unataka tuwe watu wapya wakati mwenyewe una mawazo ya kizamani.

Nikwambie kitu, Samia atapingwa kwa ukandamizaji wake wa demokrasia na haki za raia hata kama mtapiga kelele vipi, hana immunity yoyote, na ikulu ni public office, sio ofisi zenu ndogo za pale lumumba.
 
Hana tofauti na baba yako alipoulizwa njiani msoga kwanini alikuwa alipi kodi na nyie kuingiza makontena bila ushuru na kumuambia hachomoi yeye akajibu hachomoi kwani pachika wapi.

Acheni unafiki
Wala sishangai kwa kauli zenu Pro-Chadema JF hauna matusi mapya? Mbona una matusi ya kizamani sana njoo na matusi mapya tukusome.

Turudi kwenye mada huyu jamaa ndiyo mtaji wenu mpya wa siasa daaah.
 
Nipe tofauti ya hiyo kauli ya Mdude na ile kauli ya kiongozi dhalimu wa CCM kuwa watu wabaki na mavi yao nyumbani. Mbona hakujitokeza na kulaani kauli ile?
 
Mbowe aka TONDO nae anazeeka vibaya saana ,chama anaruhusije kutolewa matamko yasiokuwa na kichwa wala miguu,nadhani ujio wa mama umekuja kuzika hiki chama rasmi ,hata mbowe mwenyewe siku hizi amekuwa ni mtu wa matamko kama mmasai aileibiwa mifugo.
 
Nipe tofauti ya hiyo kauli ya Mdude na ile kauli ya kiongozi dhalimu wa ccm kuwa watu wabaki na mavi yao nyumbani. Mbona hakujitokeza na kulaani kauli ile?

Kosa halihalalishi kosa ,ni upumbavu wa hali ya juu wanachokifanya hawa wapuuzi CDM eti tunataka katiba mpaya ,hata kama kuna uhitaji kwa aina wa siasa za mbowe za kuropoka zidhani kama watanzania hata watamuunga mkono huyu jinga kwa kichaga tunaita watu wa aina ya mbowe Ni TONDO.
 
Back
Top Bottom