Fatma Karume: Samia Suluhu's destiny is to change Tanzania's constitution

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
21,293
24,173

#EXCLUSIVE: " Samia Suluhu's destiny is to change Tanzania's constitution." Fatma Karume



Former President of Tanganyika Law Society (TLS) Ms. Fatuma Karume exclusively speaks to Mwanzo TV's Leah Ngari on human rights violation in her country, why citizens have no faith in the current constitution and the fact that she believes she will not get a fair trial in a case she is facing at the High Court of Tanzania.

Fatma Karume​

Former Head, IMMA advocates - TANZANIA
Fatma Karume is presently a non-practising Barrister who was an advocate practicing in Tanzania for the past 20 years with an impeccable reputation. She was the president of the Law Society 2018-2019 and during her tenure advocated for the independence of Bar, the Judiciary and rule of law.
She was recently disbarred in Tanzania Mainland after challenging the President’s appointment of the Attorney General in a constitutional case. She lives in London.
“Those who suggest that there is a democracy for the West and one for Africa, have failed to understand the universality of the human condition.” Source: Fatma Karume - Kofi Annan Foundation
Source : Mwanzo TV
 
Hii ndiyo lugha rasmi ya kikazi ya wanasheria wasomi wa mahakama za juu. Wasomi wwanasheria alio hapa JF mnaweza kutupia mawazo mawili matatu mki brainstorming kuhusu mustakabali wa nchi yetu ikiwemo utawala bora na katiba mpya, siye maamuma kukipitia michango yenu, hii ya wanaJF wasomi wanasheria kukaa kimya kama sisi haileti afya njema kwa mjadala mpana.
 
Hii ndiyo lugha rasmi ya kikazi ya wanasheria wasomi wa mahakama za juu. Wasomi wwanasheria alio hapa JF mnaweza kutupia mawazo mawili matatu mki brainstorming kuhusu mustakabali wa nchi yetu ikiwemo utawala bora na katiba mpya, siye maamuma kukipitia michango yenu, hii ya wanaJF wasomi wanasheria kukaa kimya kama sisi haileti afya njema kwa mjadala mpana.

10 Apr 2021

Hotuba ya Judge B.A Samatta ktk uzinduzi wa kitabu Supremacy of Law : "Haki huleta amani"
Judge B.S Samatta akinukuu maneno ya Mwl. J.K Nyerere "Ni kweli bila shaka kuwa dola huongozwa na watu, lakini watu hao huongozwa na sheria" mwisho wa nukuu, Judge B.A Samatta anasisitiza kwa kusema asiyekubaliana na ukweli wa maneno haya ya Mwalimu Nyerere hastahili kuongoza dola ktk ngazi yoyote ile . Asiyekubali haya na akaisigina na kuipuuza sheria na katiba ataondoa furaha katika nchi na kusababisha maafa.

"Haki huleta amani, Haki huleta zaidi ya utulivu, Hivyo Haki ni Muhimu sana" Sehemu ya maneno katika hotuba ya judge mkuu mstaafu Barnabas Albert Samata, aliyoitoa katika hafla ya uzinduzi wa kitabu chake cha SUPREMACY OF LAW, mnamo 09/04/2021, katika ukumbi wa Tanganyika Law Society

Source : Ngowi tv
 
15 Apr 2021

kitabu cha Supremacy of Law

Prof. Chris Maina Peter, Mhariri wa kitabu cha Supremacy of Law akikichambua kitabu cha Supremacy of Law, cha Judge Mkuu Mstaafu, Barnabas Samatta, akikielezea nini kilichopo ndani ya kitabu hicho

  • Kesi ya rais awajibike kwa matendo yake
  • Lumumba to Mlimani journey
  • Army mutiny
  • Kesi ambazo Judge Samatta aliziamua toka akiwa acting judge mpaka jaji kamili
  • Vitu anavyokumbuka jaji Samatta
  • "A judge who is not independent, he or she is not a judge"
  • Mapungufu makubwa katika Law Reporting nchini Tanzania, Tanzania inaweza kuchukua miaka 16 kabla ya kutiwa ktk Law Report wakati nchi zingine wanachapisha chapuchapu
  • Advocates maarufu Eric Ng'maryo na Jenerali Ulimwengu hawakubali Jaji Samatta astaafu na kupotea, waapa watamfuatilia ili aendelea kuelimisha umma
  • Kwa kirefu kuna sehemu kubwa 8 ndani ya buku hili kubwa muhimu kusomwa
Source : Ngowi TV
 
Mkuu bagamoyo , asante kwa bandiko hili zuri, ila kwa hii lingua iliyotumika humu, sijui kama litachangiwa na wengi humu maana...

Ila nimefurahi kumsikia Shangazi, akitema mayai in Queen English, with English intonation!.

P
Pascal Mayalla, Asante kwa mchango wako. Unaona sasa madhara ya elimu tunayopewa na serikali ya chama dhalimu?
Wenzetu hata wasipojua Kiingereza, wanakuwa Wana ujuzi wenye tija kwenye nyanja walizozisomea, pascal, amini sasa waandishi wenye uwezo kama wa kwako Ni eidha hawapo kabisa au yupo mmoja Kati ya mia mbili.
Ukienda kwenye taaluma nyingine mambo ni hivyohivyo tu.
Watu wanasoma ili wafaulu mitihani, hawasomi kwa ajili ya kupata maarifa.
Wahenga walisema ujuzi hauzeeki, ujuzi ndio maarifa ambayo vijana wetu hawana.
Mfumo mbovu wa elimu ni mtaji wa CCM kuendelea kubaki madarakani, lakini ni janga kwa Taifa.
#katiba_mpya_ni_haki_yetu
 
12 Apr 2021

'TUMEHARIRI VITABU VINGI, LAKINI SUPREMACY OF LAW CHA JUDGE SAMATA, NI SHULE KWETU" Dr. KIJO BISIMBA


Dr. Helleni Kijo Bisimba, mmoja wa wahariri wa kitabu cha SUPREMACY OF LAW, cha Judge Mstaafu, Barnabasi Samata, amesema wamehariri vitabu vingi katika maisha yao, lakini kitabu hicho cha Supremacy of Law pamoja na kuchukua miaka 6 hadi kukamilika kwake, kilikuwa ni cha kipekee na ilikuwa ni kazi nzuri na shule kubwa kwao, kwasababu ya mambo makubwa sana yaliyofanywa na mwandishi wa kitabu hicho Judge Mkuu Mstaafu, Barnabasi Samata
Source : Ngowi TV
 
Pascal Mayalla, Asante kwa mchango wako. Unaona sasa madhara ya elimu tunayopewa na serikali ya chama?
Mfumo mbovu wa elimu ni mtaji wa CCM kuendelea kubaki madarakani, lakini ni janga kwa Taifa.
#katiba_mpya_ni_haki_yetu
Mkuu Bujibuji , umenikumbusha kitu, nilikisema hapa, Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
nilisema
Serikali ya naniliu, haina vipaumbele muhimu bali inendeshwa kwa matukio!, tangu tumepata uhuru ujinga ulikua ni adui namba moja, tumefanya nini kuinua elimu yetu!, CCM imewekeza on ignorance na inaitumia hiyo ignorance kama mtaji wake wa ushindi, na ukiangalia maeneo yenye low literacy level, hizo ndizo ngome za CCM!, mkoa wenye the highest literacy level ni ya Kanda ya Kaskazini, angalia hali ya CCM!,

Paskali
P
 
Wenzetu hata wasipojua Kiingereza, wanakuwa Wana ujuzi wenye tija kwenye nyanja walizozisomea, @pascal, amini sasa waandishi wenye uwezo kama wa kwako
Hivi Pascali anaujuzi gani, mkuu Bujibuji?
Au kwa vile huwa nashindwa kusoma makala zake ndeefu na za mizunguko, ndiyo maana sijatambua ujuzi wake?

Unaweza kunielekeza kwenye andiko lake moja ulilosoma na kuona ujuzi huo, ili nami nikalisome?

Ninachokiri, ni lile swali moja alilowahi kuuliza kwenye mkutano wa Magufuli na waandishi wa habari, mbali na hapo, sijapata bahati tena ya kushuhudia ujuzi unao usifu hapa.
 
Pascal Mayalla, Asante kwa mchango wako. Unaona sasa madhara ya elimu tunayopewa na serikali ya chama dhalimu?
Wenzetu hata wasipojua Kiingereza, wanakuwa Wana ujuzi wenye tija kwenye nyanja walizozisomea, pascal, amini sasa waandishi wenye uwezo kama wa kwako Ni eidha hawapo kabisa au yupo mmoja Kati ya mia mbili.
Ukienda kwenye taaluma nyingine mambo ni hivyohivyo tu.
Watu wanasoma ili wafaulu mitihani, hawasomi kwa ajili ya kupata maarifa.
Wahenga walisema ujuzi hauzeeki, ujuzi ndio maarifa ambayo vijana wetu hawana.
Mfumo mbovu wa elimu ni mtaji wa CCM kuendelea kubaki madarakani, lakini ni janga kwa Taifa.
#katiba_mpya_ni_haki_yetu
Bujibuji in his best elements.

"Wenzetu hata wasiojua Kiingereza, wanakuwa wana ujuzi wenye tija kwenye nyanja walizosomea."
Ni mara ngapi mada zinaletwa humu JF, watu wakishupalia kujua kiingereza kwamba huko ndiyo kuelimika!

"Watu wanasoma ili wafaulu mitihani"
 
Back
Top Bottom