Mbunge Jimbo la Singida Magharibi, Elibariki Kingu akutana na viongozi wa dini

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
878
955
Mbunge wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Kingu anaendelea na ziara jimboni ambapo Leo amekutana na Viongozi wa dini za Kiislam na kikristo zaidi ya 40 wa Kata ya Puma.

Viongozi hao wamesisitiza Masuala ya Amani, Upendo na Mshikamano na wamemuombea Dua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.

IMG_20210707_195345_298.jpg
 
Yaani viongozi wa dini Tanzania wakishakula wali tu wakapewa na bahasha na mara nyingi wanawekewa ishirini kazi kwisha inabakia kusifu kila kitu, hivi Mungu dua na sala za viongozi wa bongo hua nadhani anawakaushia maana wengi wao ni wajingawajinga tu
 
Back
Top Bottom