ATCL ni vema mkatuonesha risiti za malipo ya kukodi ndege za umma zinazotumiwa na Katibu Mkuu wa CCM

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,340
Katibu Mkuu wa CCM ameonekana Zanzibar na kwingineko katika ziara za chama chake, ameonekana akitumia usafiri wa ndege za ATCL ambalo ni shirika la umma.

Sasa ili kuondoa minong'ono ya chini chini iliyoanza kusikika kwamba ANATUMIA NDEGE HIZO BILA KULIPA CHOCHOTE , Ni vema basi shirika hilo ambalo si la CCM likaweka hadharani risiti za malipo ambazo CCM imelipia kwa ajili ya matumizi ya ndege hizo za umma .

Natanguliza Shukrani.

BAVICHA_&_CHASO_on_Instagram:_“._@airtanzania_atcl_,_hii_Bombardier_Dash_8-Q400_zipo_chini...jpg
 
Tukiendekeza mawazo ya aina hii CCM watazidi kutumia mali za umma hovyo, kilichopatikana kwa kodi za watanzania bila kujali vyama vyao, ni vyema kikatumiwa kwa discipline kwa kujali mchango wa wote.
Mkuu.

Haya mawazo wanaoweza kuyasitisha ni Wanasiasa tu..wewe mwananchi usijaribu kuyasitisha. Hivi unavyodhani Mbunge wako wa Upinzani ana Nguvu kushinda katibu wa wilaya wa CCM?
 
Mkuu.
Haya mawazo wanaoweza kuyasitisha ni Wanasiasa tu..wewe mwananchi usijaribu kuyasitisha..Hivi unavyodhani Mbunge wako wa Upinzani ana Nguvu kushinda katibu wa wilaya wa CCM?
Wananchi ndio tuna nguvu zaidi ya wanasiasa, hao wanasiasa huwa tunawachagua kama wawakilishi wetu ili tuwatume kupeleka mawazo yetu panapotakiwa.
 
Back
Top Bottom