Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
937
1,000
Au labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.

taaa.PNG
solar.PNG
 
Johnson Fundi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,039
2,000
Duuh, na cc watz kwa kweli!?! tunalalamikia milioni miamoja na mbili kwa kitu ambacho utakion na kizuri tena wilaya ya Temeke yenye vyanzo vingi tu vya mapato je mtu wa wilaya ya buhigwe si atalalamikia hata hospitali!?!

Wajameni hizo taa hata wewe ukiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo sidhani kama utazing'oa uweke karabai. Chapeni kazi mjenge nchi na pia mjenge purchasing power zenu ili msiwe mnalalamikia hata vitu vidogovidogo tu.

Anyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
 
Glenn

JF-Expert Member
May 22, 2018
12,752

Ushamba wa vitu waachwe waendelee kukabwa tu
 
macho_mdiliko

JF-Expert Member
Mar 10, 2008
15,235
2,000
Duuh, na cc watz kwa kweli!?! tunalalamikia milioni miamoja na mbili kwa kitu ambacho utakion na kizuri tena wilaya ya Temeke yenye vyanzo vingi tu vya mapato je mtu wa wilaya ya buhigwe si atalalamikia hata hospitali!?!

Wajameni hizo taa hata wewe ukiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo sidhani kama utazing'oa uweke karabai. Chapeni kazi mjenge nchi na pia mjenge purchasing power zenu ili msiwe mnalalamikia hata vitu vidogovidogo tu.

Anyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
Hawa ndiyo raia wa Tanzania hawa. Ona maoni kama haya na unaweza kukuta mtu kama huyu amemaliza sekondari! Ni janga.
 
Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,962
2,000
hakuna aliyekataa zziwekwe ila ni taa gani hizo ambapo moja inauzwa milioni 3?hilo ndilo swali langu
Umeangalia tu taa kama taa kwa maana ya balbu na cover yake au?. Kuna solar system hapo, kuna sensing system ya kujua kama ni mchana au jioni, kuna mlingoti wa chuma na zege la kuweka, gharama za vibarua. Umewaza yote hayo? Pia nilitegemea ungeleta estimation ya gharama ambazo unadhani zingekuwa sahihi. Kusema m 3 ni nyingi bila kuwa reference point inakuwa haieleweki, nyingi ukilingalisha na nini? Hiyo ni relative term
 
CHIZI VITABU

JF-Expert Member
Jun 12, 2021
937
1,000
watu wanaolalamikamimi kuuliza gharama na kusema sijui ni wivu sijui sijmaliza secondary school naomba mnisaidie kunijibu...HIZO TAA ZINA NINI CHA AJABU? MILIONI 100 HAIWEZI KUFUNGA TAA MTAA MZIMA HUO BADALA YA KUWEKA KWENYE OFISI YAKE TU?
 
Alvajumaa

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
4,075
2,000
Au labda ni teknolojia kama ya Mossad ,CIA? isije ikawa zina satellite ndani,taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000

View attachment 1835927
Umepiga gharama ya mkandarasi ? Procurement n.k au unadhani hiyo hela ni taa peke yake?
Kwanza eneo lazima ifanyike survey, uandaliwe mchoro, baada ya hapo tender itangazwe au wafanye selective tendering, baada ya kupata mkandarasi kazi inaanza...
Kumbuka kuna kuchimba shimo ili uweke base ya kubeba hizo poles (nguzo) nazo ni gharama pia, Usisahau hiyo base inakua na reinforcement kuipa uimara,

Ongeza hili katika akili yako ni kwamba watu wanaweza kuandaa michoro lakini specification za material siyo locally yaan inabidi uagize nje, piga gharama ya shipping, clearing & forwarding...
 
mbona umeongea kna kwamba kuna process ndefu umeambiwa kazi itachukua week 2 tu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom