IGP Sirro: Nitawashtaki Wenyeviti wa Serikali za Mitaa Wazembe kwa Wakurugenzi ili wabadilishwe

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,965
141,968
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine.

Sirro amesema wenyeviti wa serikali za mitaa wanapaswa kusimamia ulinzi katika maeneo yao na kwamba hapa Tanzania askari mmoja anahudumia watu 2000 jambo ambalo ni gumu.

Kimataifa askari mmoja anapaswa kuhudumia watu 450 amesema Sirro.

Chanzo: ITV habari

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Jjitu linapita kwenye uchaguzi kwa sababu ya kubebwa na dikteta magufuli halafu anasema unawakilisha wananchi. mtu pekee akina kigwangala walikuwa wanamuwakilisha bungeni ni huyo dikteta magufuli na hivi sasa analiwa na funza wanabaki wanajiwakilisha wenyewe tu.
 
Labda alimaanisha mtendaji wa wa kata?

Wenyeviti tunawapigia Kura ..wanaondolewaje?Na mkurugenzi alieteuliwa?..

Sirro ana akili huyu??
 
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine....
Anaelewa kwamba wenyekiti wa serikali ya mtaa wanachaguliwa na wananchi hawayeuliwi au nae kalewa mabomu?
 
Anaelewa kwamba wenyekiti wa serikali ya mtaa wanachaguliwa na wananchi hawayeuliwi au nae kalewa mabomu?

..kuna mahali nilisikia IGP Sirro amesomea sheria udsm. I hope that is not true, otherwise kwanini ni mweupe kisheria namna hii?
 
..kuna mahali nilisikia IGP Sirro amesomea sheria udsm. I hope that is not true, otherwise kwanini ni mweupe kisheria namna hii?
Mtu ameacha practise akaingia kupiga kwata lazima awe mweupe kichwani kitaaluma
 
IGP Sirro amesema atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine..
Kwani wenyeviti wa mitaa mwajiri wao ni mkurugenzi? Hao mwajiri wao ni wananchi maana wamechaguliwa kwa sanduku la kura hivyo mkurugenzi hana cha kumfanya mwenyekiti wa mtaa zaid ya kumchimba mkwara tu, labda angesema watendaji wa vijiji na kata.
 
atawashtaki kwa wakurugenzi wa halmashauri wenyeviti wazembe wa serikali za mitaa ili ikiwezekana waondolewe na nafasi zao kujazwa na watu wengine.
Huyu ni mjinga mwingine baada ya Polepole, Kabudi and the like, hivi anajua hao wenyeviti wanapatikanaje! Hivi kama sisi tumeamua kuwa ma Mwenyekiti mzembe, yeye atatuondolea ili iweje?
 
Huyu ni mjinga mwingine baada ya Polepole, Kabudi and the like, hivi anajua hao wenyeviti wanapatikanaje! Hivi kama sisi tumeamua kuwa ma Mwenyekiti mzembe, yeye atatuondolea ili iweje?
Wote hao ni CCM, na CCM ndio wameshika hatamu.

Hapa Tanzania utendaji wa kufuata taratibu aliufuta Magufuli. Kwa hiyo unapohoji itawezekana vipi, ni kwamba unajaribu kujisahaulisha tu.
 
Back
Top Bottom