Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese
9 Reactions
67 Replies
8K Views
Ndugu zangu tupo vitani kwa Sasa, Vita hii ni Kati ya watawala wanaolishwa na Kodi zetu dhidi ya watawaliwa. Familia chache zinazotawala nchi hii zimetuletea Kodi kubwa pamoja na tozo huku...
0 Reactions
1 Replies
733 Views
Wasalaam. Watanzania wenzangu tumechagua viongozi/ kuchaguliwa viongozi bado sisi ndio tunaowafundisha namna ya kutuongoza. Hili ni kosa kubwa mno na ndio maana haya ya tozo, kukamatwa watu huko...
1 Reactions
2 Replies
632 Views
Habari za usiku wakuu. Nashangazwa sana na namna serikali inavyozuia shughuli za kiuchumi kwa kigezo cha kukuza uchumi. Mfano mzuri ni kuzuia kongamano la chadema mkoani mwanza, serikali...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Binafsi naamini kama Serikali inataka kuwa makini kabisa na masuala ya Kodi.. Ingeachana kabisa na mfumo wa sasa wa kuweka serikali wilayani.. Huu mfumo wa serikali kuwa wilayani au Halmashauri...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwigulu jifunze hapa, Kuliko kuwabebesha mzigo wa misumari Kodi wananchi wakawaida na hali ya chini ambao mobile money ndo tegemezi kwao ungeekeza nguvu kwenye utalii. Tanzania inavivutio vingi...
1 Reactions
1 Replies
628 Views
Tozo iwe tsh 500 kwa kila muamala itafikia lengo la makusanyo ya 1.254tr. (Bajeti ya serikali 2021/22) mapato yanayotegemewa kupatikana na tozo ya miamala.Kutegemea na idadi ya miamala iliyokuwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
"Wabunge waliochaguliwa na wananchi hawawezi kukaa kwenye bunge linalowaongezea wananachi gharama kila siku. Wabunge wa wananchi siku zote wanajitahidi kuibana serikali ipunguze gharama za maisha...
29 Reactions
46 Replies
5K Views
Wakati unamkosoa mwanasiasa yoyote usitumie neno AIBU au HAYA. Mwanasiasa akibadilisha msimamo au gia angani ni kwa sababu ameona hiyo itakuwa na manufaa mkubwa kwake kwa kipindi hicho na...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Badala ya raia kulalamika mitandaoni na kutengeneza memes kwa sheria na tozo zinazopitishwa na bunge ambazo wananchi wengi wanaona ni kandamizi au tata kama hii ya uzalendo na mfuko wa mshikamano...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Je, wajua Ukiwa mtu mwenye HALI ya chini hasa unayetumatuma kati ya 5000/= mpaka 100,000/= , ndo unaathirika zaidi na hizo tozo kuliko mtu mwenye HELA!... (Tazama Jedwali hapo chini!) Kwanini...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu, Ebu Someni Barua Kutoka UN Kwenda Kwa Rashid Salum Adiy Kuhusu Petition Yake Kupokelewa Rasmi Umoja Wa mataifa.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Kwa nchi yetu ilikofika Inahitajika katiba mpya kwa mstakabali wa nchi yetu Tumeona mambo yanaenda ndivyo sivyo katika sekta tofauti tofauti hasa kwenye maamzi ya Baadhi ya viongozi Kuna...
1 Reactions
1 Replies
875 Views
Thadei Ole Mushi TUSIFUNGE MJADALA WA MSHAHARA WA MBUNGE. Na Thadei Ole Mushi. Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Bei ya mafuta imepandishwa, Bei ya nauli imepandishwa, ada ya miamala imeongezeka nk, nk, nk na bado, yajayo yanachukiza!!! Hii inathibitisha kuwa serikali ipo kwa ajili ya kumkamua mtu kiuchumi...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini? Na kila siku tunajilabu tuna...
3 Reactions
138 Replies
24K Views
Kutokana na dhulma ya serikali iliyoko madarakani kwa kutaka kutopora pesa kwenye huduma za kutuma na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu,kuanzia Leo nimejiondoa kwenye huduma za M pesa.Na kwakuwa...
22 Reactions
32 Replies
3K Views
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye. Uamuzi huo unaweza kuwa habari...
2 Reactions
396 Replies
79K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…