Thadei Ole Mushi
TUSIFUNGE MJADALA WA MSHAHARA WA MBUNGE.
Na Thadei Ole Mushi.
Kuna Msaidizi mmoja wa Mbunge Kanitumia document hizi ili kufanya Clarification zaidi kwa jamii kuhusu Mishahara ya...
Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache...
Bei ya mafuta imepandishwa, Bei ya nauli imepandishwa, ada ya miamala imeongezeka nk, nk, nk na bado, yajayo yanachukiza!!!
Hii inathibitisha kuwa serikali ipo kwa ajili ya kumkamua mtu kiuchumi...
Jambo moja linalonipa shida kuliko hata kuibiwa kura ni hili la hawa wakenya jirani zetu, hela yao ipo na thamani kubwa sana sana kuliko za kwetu -- tatizo ni nini?
Na kila siku tunajilabu tuna...
Kutokana na dhulma ya serikali iliyoko madarakani kwa kutaka kutopora pesa kwenye huduma za kutuma na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu,kuanzia Leo nimejiondoa kwenye huduma za M pesa.Na kwakuwa...
Dar es Salaam. Saa chache baada ya kutangazwa kwa bei mpya za vifurushi, Serikali imetangaza kusitisha kutumika kwa gharama hizo hadi hapo itakapotangazwa baadaye.
Uamuzi huo unaweza kuwa habari...
PEMBA ZANZIBAR
Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi
Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde.
Alisema moja ya changamoto...
Wakuu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri.
Nimepita mitandaoni, nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Mwigulu kuhusu tozo ya miamala. Naunga mkono mashambulizi, lakini nadhani tunakosea...
Wingu la siasa za nchi yetu limechafuka kwa mijadala mbali mbali kuhusiana na maswala muhimu ya kitaifa yaliyoibuliwa na ripoti ya CAG pamoja na comments za wadau mbali mbali kuhusiana na ripoti...
Wafuasi 6 wa Chadema wilayani Momba mji wa Tunduma wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi mbili za serikali za mitaa na kumtishia kifo diwani
Hata hivyo DC Kulandaka waMomba...
Kiukweli kilio cha wananchi huko mitaani kuhusu maumivu ya tozo za kizalendo au mshikamani kimekuwa kikubwa mno.
Wananchi wanawakumbuka Tundu Lissu, J J Mnyika na Zitto Kabwe na kusema hivi "...
Wakuu Heshima kwenu, na pia habari za weekend!
Naomba kuuliza, kulingana na taratibu na sheria za nchi hii za Utumishi wa Umma; Je mtumishi wa Umma anaruhusiwa kugombea nafasi ndani ya Chama...
Kila nyakati za uchaguzi na zisizo za uchaguzi, mfumo wa shughuli zakisiasa ni chonganishi kwa wananchi na si rafiki kwa wananchi.
Kuna umuhimu wakuendelea kuwa kujiita tuna mfumo wa vyama vingi?
Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya...
MKURUGENZI wa Mashitaka nchini (DPP), amewasilisha hati katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kwamba anamuondolea mashitaka mfanyabiashara Mustapha Kambangwa ambaye alikuwa anakabiliwa na...
Katika hili naomba nieleweke kabisa kwamba katiba mpya si mali ya CHADEMA wala wanaharakati, ni mali ya watanzania wote wakiwemo wanachama wote wa CCM. Tusisikilize watu wachache wa taifa hili...
Tumefika mahali pabaya Sana,serikali inafanya mambo hovyohovyo bila kujali maumivu kwa wananchi wake Hulu wabunge wapo,najiuliza wanaujua wajibu wao?
Au wanashindwa kuikemea serikali kwa kwakuwa...
TAMBUA KWAMBA:-
π°π°π°π°π°π°π°π°π°
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja.
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
(3) Nitajitolea nafsi yangu...
NJIA BORA YA UPINZANI KUINGIA MADARAKANI MWAKA 2025
Kwanza namshukuru mwenyewezi Mungu kwa kutujalia afya nzuri na Amani katika Nchi yetu pendwa ya Tanzania
Tangua kuanzishwa kwa uchaguzi wa...