MONDAY JULY 19 2021
Wakati kelele za tozo ya miamala ya simu zikiendelea kuanzia Agosti mwaka huu, watumiaji wa simu nchini wataanza kuchangia bajeti kuu ya Serikali kupitia tozo ya laini za...
Nimemsikiliza kwa makini sana Waziri Ummy Mwalimu akipigia chapuo makato ya miamala na kusema tutaenda kujenga shule, mara barabara za vijijini mara sijui hospitali.
Ummy ameyazungumza haya saa...
Bila kupanga, bila maandalizi, bila mikutano ya kupanga nini cha kufanya juu ya haki zao, wamejikuta kwa nguvu moja wameandamana na mabango (mabandiko) kwenye mitandao kwa sauti moja kupiga tozo...
Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema wizara hiyo itanufaika na tozo za miamala ya simu kwa kujenga vyumba vya madarasa 10,000 na kukarabati shule kongwe za msingi 2,100. Ameeleza kuwa hadi...
Misingi ya utawala bora kwa miaka kadhaa imekuwa ni adimu kupatikana miongoni mwa viongozi wengi, ambapo kwa kiasi kikumbwa imekuwa ikizorotesha maendeleo ya kiuchumi na kudhoofisha demokrasia...
Waziri Mwigulu alisema kuwa hawezi kubadilisha kitu kwenye bajeti iliyopitishwa sababu ni sheria. Sasa kama bajeti ni sheria, na tunaona karibu kila mwaka serikali inashindwa kuitimiza bajeti yake...
Mgombea wa Udiwani wa ACT Wazalendo Kata ya Mbagala Kuu, Shaweji Mketo amekamatwa na Polisi akiwa kituo Cha Kupigia kura ambako alikwenda kuzuia watu wasioandikishwa kupiga kura.Amejuruhiwa mguuni...
Ndugu Shekha Mpemba Fakhi kwa tiketi ya CCM ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Konde wilaya ya Micheweni mkoa wa Kaskazini Pemba.
Ikumbukwe Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM...
Tunategemea Wabunge wawe watetezi wa wananchi kwenye masuala mbalimbali kurahisisha maisha yetu badala yake wao ndio wamekuwa wawakilishi wa serikali kutugandamiza.
Wabunge wameridhia serikali...
Kwa mara ya Kwanza tunashuhudia watu wakimlinda aliyekuwa Rais wa nchi kiongozi wa umma asizungumziwe. Tulishuhudia akina Christopher Mtikila RIP wakimsema vibaya Mwl. Nyerere RIP bila watu wa...
Mh. Rais,
Inaonekana hili suala la tozo za serikali kwenye miamala ya simu halijapokelewa vizuri na watanzania walio wengi, hivyo basi mimi nikushauri ujitokeze mbele ya watanzania kwa...
Nchi ya ajabu kupata Kutokea. Mbunge anachaguliwa na wananchi ili awawakilishe bungeni akawasemee mahitaji yao na kero zao. Mbunge kashiriki kupitisha sheria ya tozo ambayo ni kero kwa wananchi...
Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii.
Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo:
1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu...
Nimeshangazwa sana na habari iliyopo kwamba Rais Samia alimuagiza Mkuu wa Polisi Mwanza kuzuia watu kufanya kongamano juu ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania; kwa malaka gani aliyo nayo Samia juu ya...
MLITAKA RAIS AFANYE NINI?
Katika awamu hii ya sita hakuna jambo ambalo linapaswa kupongezwa kama utulivu, hekima na maarifa aliyoyaonyesha Rais Samia Suluhu Hassan kwa kipindi hiki ambacho...
M/kiti wa jukwaa la waandishi wa habari ratibu kuwe na mahojiano na Spika Ndugai na waandishi wa habari kujibu manung'uniko ya wanachi kuhusu Muhimili huu kupoteza maana halisi.
Vipo vyanzo vingi...
Katika mkutano wa Chadema leo Kawe, Askofu Mwamakula na Sheikh Katimba leo wametoa dua nzito sana dhidi ya mtu yeyote atakayetenda dhulma kudhulumu haki za watanzania kwenye kupata viongozi wao...
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.
Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya
Wakati...