Freeman Mbowe kulihutubia taifa 19 Julai, 2021

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
104,319
Reaction score
183,600
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Hii inakwenda kumrudisha Rpc bench makao makuu.
Kipindi Lugola akiwa waziri alimuondoa Arusha baada ya kumuona hafai. Sijui hivyo vyeo alipewa na nani?
Hana uelewa wa kumfanya kuwa kiongozi jeshi la polisi.
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kesho saa 5 asubuhi atalihutubia taifa kutokea jijini Mwanza.

Taarifa rasmi ya Bawacha imesema Mbowe ataelezea muelekeo wa chama katika kudai katiba mpya

Wakati huo huo taarifa zisizo rasmi zinadai wanachama wote wa Chadema waliokamatwa na polisi jana wakijiandaa kwa kongamano la katiba mpya leo wameachiliwa bila masharti yoyote.

Nawasalimu kwa jina la JMT!

Atalihutubia taifa gani??
 
Mwenyekiti wa Chadema!
Ukishakuwa na chama ambacho hakina malengo ila kinadandia kila wanalokutana nalo mbele ujue hamna chama hapo....chadema kama wako serious wawe na malengo wanayotaka kuyafanikisha ndo wayalete kwa wananchi. Sio kuvizia hotuba za viongozi na mawaiziri ndo wanakomalia HIYO HAIWEZI KUWAJENGA KAMA CHAMA
 
Kwani mwendakuzimu anasemaje huko jehanamu aliko?
... anawaona Baba Ibrahim mbali kule akiwa na Kamanda Ben na Mawazo anawapigia kelele; mnitoe humu; sikuyajua haya! Akamjibu, pana uzio mkubwa sana kati yetu huku na wewe, hatuwezi kukusaidia lolote.

Akawajibu, nakuomba uwatume hao ulioambatana nao waende Tz, kuna wakaidi niliwaacha kule wasije wakaishia nilipo! Akamjibu, wasiposika maonyo ya kuzilinda Katiba na kuzitii sheria za kule kutoka kwa wenye hekima hata akitumwa mtu hawatamsikia kamwe! Wasipotenda haki wataishia hapo ulipo!
 
Mwambaaaaaaaa KUUNGURUMA kesho,
Aluttaaaaa continuaaaa ✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾✊🏾

Back
Top Bottom