Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,735
- 6,291
Baraza Kuu la UVCCM Mkoa wa Shinyanga chini ya Mwenyekiti Baraka Shemahonge limemtaka Rais Samia Suluhu kuliangalia upya suala la Tozo za Miamala ya Simu kwa manufaa ya wananchi wa hali ya Chini na Vijana wengi wasio na Ajira.
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua
Baraza limeonya kuwa Mzunguko wa Fedha utapungua