CHADEMA wanataka kuvuruga amani ya nchi, tuwe nao makini kama Taifa

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.

Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.

Hawa watu ni watu wabaya sana tuwe nao makini. Maana wameshajua hakuna upenyo wa kuikaba serikali ya Ccm.

My take: They should be shackled by all means necessary.

Idugunde nikiwa Dar mapumzikoni baada ya kuvuna mpunga.
 
Sema badaa ya kuvuna kutoka mtaa wa kijani,hivyo maumivu na uovu kwa wengine sii jambo la kificho kwako,vivyo nikikuita mwana Sgang nimekosea?
 
wanataka kufanya mikutano ya ndani waacheni wafanye mimi sijaona sababu ya kuzuia mikutano ya ndani ya vyama. Kikubwa tu ni kuhusu Corona
Mikutano ya ndani ya kichama nani kawazuia? Unajua mikutano ya ndani ya chama?
 
Me nashauri vyama vifutwe tu tubaki na ccm

Mafuta yapande mapaka 100000 kwa lita moja

Tozo ziongezeke mara 100 zaidi ya sasa yaani angalau kutoa buku ulipie elf 500)

Bunge Liwe la ccm katiba itumike ya ccm labda kenge masikio yao na macho yao yataona na kusikia.
 
Mbwiga kasome ibara ya 3 ya katiba ya JMT.
 
Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.

Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.

Hawa watu ni watu wabaya sana tuwe nao makini. Maana wameshajua hakuna upenyo wa kuikaba serikali ya Ccm.

My take: They should be shackled by all means necessary.

Idugunde nikiwa Dar mapumzikoni baada ya kuvuna mpunga.
Sidhani kama kuna siku huwa unatumia akili.Idegenda the macholo!😝😝😝
 
Ukweli ni kuwa walishapoteza direction kwa muda wa miaka sita toka uchaguzi wa mwaka 2015 na mpaka sasa hawa gea ya kuwapa kick ya kuweza kuwini watanzania.

Wanataka kupitia hoja ya kudai katiba mpya kama njia ya kuonekana wanatetea wananchi ili kuchafua amani ya taifa letu.

Hawa watu ni watu wabaya sana tuwe nao makini. Maana wameshajua hakuna upenyo wa kuikaba serikali ya Ccm.

My take: They should be shackled by all means necessary.

Idugunde nikiwa Dar mapumzikoni baada ya kuvuna mpunga.
Watavurugika wao.
 
Hayati hakukosea hata kidogo maaana angewachekea wangemchezea wee! wange mchelewesha na mwisho asinge fanya lolote, lkn leo hii watu wanateleza kwenye lami njia 8 wanajidai kabisa, mradi mkubwa wa umeme, standard gage n.k yote hayo yaliwezekana ndani ya miaka 5 kwa sababu ya Amani na utulivu,
sasa wanataka tena kuanza kumchelewesha Mama asifanye chochote ndani ya kipindi chake.
hili halikubaliki, watulie tulii kama ilivyo kuwa awamu ya 5.
muda wa uchaguzi ukifika tutakutana majukuani, ndio maaana Lisu alionyesha nidhamu mara baada ya uchaguzi mkuu alipo maliza kampeni zake alijiondokea kwenda ubeligiji akifahamu kuwa muda wa kampeni na uchaguzi uliisha tukutane tena 2025.
 
Back
Top Bottom