RC Makala: Rais Samia ametoa Tsh 100 milioni kuboresha soko la Machinga Complex, kutazungushwa bati na meza za kisasa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,607
141,429
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume

RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara

Chanzo: ITV habari
 
uzio wa mabati na meza za kisasa 100M?

Machinga complex wafanyabiashara hawapataki wateja wakibongo wanatabia ya uvivu hawatapanda lile gorofa.

walishapewa vizimba wakavikimbia.

Kibongobongo mfanyabiashara anamfuata mteja na sio mteja kumfuata mfanyabiashara. Ndio maana mabiashara yamejaa barabarani
 
Pale Machinga pataweza ku accomodate wafanyabiashara wote wale?
 
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume

RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara

Chanzo: ITV habari

Jiji wanajua kukusanya ushuru lakini kuboresha mazingira ya machinga hawaboreshi
 
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume

RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara

Chanzo: ITV habari
Ni makosa mno kusema Rais katoa ni serikali imetoa maana Rais Samia hana fedha ni za serikal
 
uzio wa mabati na meza za kisasa 100M??
Machinga complex wafanyabiashara hawapataki wateja wakibongo wanatabia ya uvivu hawatapanda lile gorofa...
Mlimani city, Quality plaza hawana wateja?

It is high time kuwazoesha wateja kufata mahitaji yao maeneo yaliyotengwa. Na wafanya biashara watulie maeneo yao wateja watakuja. Karne hii unanunua bidhaa barabarani, hata ukidondosha funguo yako huwezi kuirudia...why?

Let build business integrity. Business has to predicted. Ndipo hata kodi zinakusanyika na serikali.
 
Hizo hela zinapotea bure.. wamachinga hawawezi kukaa ghorofani..

Machinga ni anaweka biashara yake kufata wateja walipo...sasa kumuweka ghorofani maana yake mteja ndie amfate machinga alipo.

Machinga anauza kwa kumtamanisha mteja ambaye hajapanga kununua kitu anunue hapo hapo.. sasa lazima afate watu walipo
 
Hizi lugha eti Rais ametoa hela ni za kipuuzi. Nadhani alichomaanisha ni kuwa Rais ameidhinisha.

Huyi Mtaka niwenyeji wa wapi? Inaonekana Kiswahili kinampa shida.
 
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume

RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara

Chanzo: ITV habari

Kama bati na meza ni wateja ni sawa
 
Rais Samia ametoa tsh milioni 100 ili kuboresha soko la Machinga comllex na kuwezesha wamacbinga wote wa kariakoo kuhamia hapo Karume

RC Makalla amesema maboresho yanaanza mara moja ikiwa ni pamoja na kuzungushia uzio wa mabati na kuweka meza za kisasa za kupanga biashara

Chanzo: ITV habari
Tunarudia kule kule,RAIS KATOA......ni zake? Kwa nini isiwe serikali imetoa
 
Back
Top Bottom